Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amefanikiwa ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi march wa ligi ya Premia.

Tuzo hii ni ya kwanza kwa kocha huyo tangu alipojiunga na Chelsea mwishoni mwa mwezi wa kwanza na kufanikiwa kucheza michezo 14 bila kupoteza mchezo mpaka sasa.

Tuchel alifanikiwa kushinda mechi mbili dhidi ya Liverpool na Everton kabla ya kufunga mwezi na sare ya bila magoli ugenini Elland Road dhidi Leeds.

 

tuchel, Tuchel Kocha Bora wa Mwezi., Meridianbet

 

“Nafuraha sana kupokea Tuzo hii, naamini ni mafanikio kwa kila mmoja wetu ndani ya klabu ambao wamehusika kuiweka na kuiandaa timu pamoja kucheza katika kila wiki.

“Tuzo hii isingewezekana kama sio kujituma kwa benchi zima la makocha na kusaidia timu katika muelekeo mmoja kuelekea mafanikio.

“Mwisho napenda kutambua mchango wa kujituma wa wachezaji ambao wamejitolea kila kitutangu nimefika na matumaini watabaki hivyo mpaka mwisho wa msimu.” aliongeza Tuchel


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

tuchel, Tuchel Kocha Bora wa Mwezi., Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa