Kocha mkuu wa Chelsea Thomas Tuchel amekiri kwamba kufuzu kushiriki Champions League msimu ujao ni muhimu zaidi kuliko kushinda ubingwa wa kombe la FA.
Tuchel: Kufuzu Ligi ya Mabingwa Ni Muhimu Zaidi
Thomas Tuchel, Christian Pulisic pamoja na wasaidizi wa benchi la ufundi

Baada ya kulikosa kombe la FA dhidi ya Leicester City siku ya Jumamosi, Chelsea na Mbwa mwitu wanakutana tena katika mchezo wa Premier League siku ya Jumanne.

Chelsea wapo katia nafasi ya nne kwenye jedwali la EPL, alama moja mbele ya Liverpool huku zikiwa zimesalia mechi mbili ligi kufika tamati, Leicester wapo mbele ya Chelsea kwa alama mbili kwenye msimamo.

“Mimi siyo mpotezaji mzuri lakini nataka niwe ni mpotezaji anaye heshimika na sipo hapa kucheza mechi za (fainali ya FA Cup) kwa sababu za kiuchumi,” alisema.

“Tumepoteza mechi kubwa, ilikuwa kubwa kwetu hatuja pumzika kwa sababu bado tuna hisia kwamba mchezo wa leo ni muhimu zaidi.

Chelsea hawaja shinda katika michezo sita waliyokutana na Leicester kwenye EPL, (D4 L2).


Unaweza kuwa milionea wakati wowote!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu.

Tuchel, Tuchel: Kufuzu Ligi ya Mabingwa Ni Muhimu Zaidi, MeridianbetBASHIRI SASA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa