Wakati Simba wakijipanga kulipiza kisasi Uwanja wa Mkapa, dhidi ya Kaizer Chiefs, Kocha Gavin Hunt amesema hata kama wameshinda vizuri nyumbani lakini bado Simba ni timu ya kuchungwa wakiwa nyumbani.

hunt

“Sio nzuri ukiwa na furaha sana, tumemaliza dakika 45 za kwanza ili mechi imalizike tunatakiwa kuwa bora zaidi ugenini, Simba ni timu inayocheza vyema nyumbani,” alisema Hunt.

“Hatutakiwi kuona tumemaliza mchezo tunakwenda kwenye mechi ngumu zaidi ambayo tunatakiwa kuwa na mpango mzuri wa kushindana nao.”

hunt, Tutakuwa Bora Ugenini – Hunt, Meridianbet
Jumamosi kwa Mkapa Hapatoshi.


Unaweza kuwa milionea wakati wowote!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

hunt, Tutakuwa Bora Ugenini – Hunt, MeridianbetBASHIRI SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa