Kiungo wa Leicester City James Maddison amepona kutoka kwenye jeraha la paja wakati beki Ricardo Pereira  pia yupo fit baada ya kukabiliana na tatizo la harmstring,lakini, Winga Harvey Barnes na Cengiz Under bado watakuwa nje.

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameripotiwa kutokuwa na majeruhi lakini ataendelea kuwafuatilia wachezaji wote walitoka kwenye majukumu ya mechi za kimataifa.

Uchambuzi EPL: Leicester City vs Manchester City
Wachezaji wa Leicester City wakipongezana baada ya kuibuka na ushindi wa 5-2 dhidi ya Manchester City

Head to Head Leicester City vs Manchester City

Leicester City watakuwa wakipambania kukamilisha ushindi wa mara mbili dhidi ya Manchester City kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1986-87.

The Foxes ambao walishinda kwa 5-2 dhidi ya Manchester City katika dimba la Etihad Stadium mwezi Septemba inaweza kuwa timu ya kwanza kuifunga goli sita timu ya Pep Guardiola.

Leicester City hawajashinda katika michezo 15 ya Premier League dhidi ya viongozi wa ligi hiyo wamepoteza mara 13.

Mbwa mwitu wamepoteza michezo sita ya nyumbani msimu huu ni Everton ambao ambao wanarekodi kama hiyo kwa timu kubwa za EPL.

Jermie Vardy amefunga mabao nane katika michezo tisa ya ligi dhidi ya Pep Guardiola mara mbili ya mchezaji yoyote.

Vardy ambaye amefunga bao moja katika mechi 16 amefunga mara mbili katika michezo mitatu ya Premier League akifanikiwa kufunga hat-trick dhidi ya Manchester City ya Guardiola.

Manchester City wameshinda mechi nane mfululizo za ugenini na kufunga julma ya mabao 22 na kuruhusu mabao matatu pekee.

Timu ya Guardiola City imeshinda mechi 25 kati ya 26 zilizopita kwenye mashindano yote ikijumuisha na rekodi ya klabu ya kushinda mechi 14 mfululizo za ugenini.

Gabriel Jesus ambaye atafikisha umri wa miaka 24 siku ya Jumapili amefunga mabao manne dhidi ya Leicester City katika Premier League.

Riyad Mahrez amehusika moja kwa moja kwenye mabao manne katika mechi zake tatu zilizopita dhidi ya klabu yake ya zamani akifunga mara ,mbili na kusaidia mabao mawili.

Kikosi cha Leicester City Kinachoweza kuanza (3-5-2): Schmeichel; Fofana, Evans, Soyuncu; Albrighton, Tielemans, Ndidi, Maddison, Castagne; Iheanacho, Vardy

Kikosi cha Man City kinachoweza kuanza(4-3-3): Ederson; Walker, Stones, Dias, Cancelo; De Bruyne, Rodri, Gundogan; Mahrez, Jesus, Sterling


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Leicester, Uchambuzi EPL: Leicester City vs Manchester City, Meridianbet

CHEZA HAPA

 

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa