West Ham na Chelsea wapo kwenye vita kali sana ya kujihakikishia nafasi ya nne wote wakiwa na alama sawa 55 Chelsea yupo nafasi ya nne juu ya West Ham kwa tofauti ya mabao nane pekee.

Uchambuzi EPL: West Ham United vs Chelsea

Taarifa za Vikosi

Meneja wa West Ham David Moyes anatumaini la kurejea kwa Aaron Cresswell ambaye alikuwa na tatizo la Harmstring.

Jesse Lingardyupo sawa lakini Craig Dawson amefungiwa mechi moja hivyo ataukosa mchezo wa leo na Declan Rice, Michail Antonio na Arthur Masuaku hawatarajiwi kupatikana.

Mateo  Kovacic ndiyo mchezaji pekee wa Chelsea ambaye hatopatikana kutokana na jeraha la harmstring.

Kocha mkuu Thomas Tuchel amethibitisha kwamba golikipa Edouard Mendy ataanza kwenye kikosi cha kitakacho anza.

Huu unakuwa ni mchezo wa 100 kukutana kwa timu hizi West Ham inapambania kushinda mchezo wa nyumbani wa ligi dhidi ya Chelsea kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka 18.

Chelsea ilishinda kwa 3-0 katika dimba la Starford Bridge mwezi Desemba na wanaweza na wanaweza kushinda mara mbili dhidi ya West Ham kwa mara ya nane.

Jesse Lingard amehusik kwenye mabao 12 ya Premier katika michezo yake kumi ya kwanza kwa West Ham akifunga mara 9 na kusaidia matatu

Thomas Tuchel anaweza kuwa kocha wa kwanza wa Chelsea kushinda katika michezo 10 ya ugenini  ameshinda 7 na sare 2.

Mchezaji pekee alifanikiwa kushinda zaidi ya mabao matatu chini Tuchel ni Mason Mount mabao 5.

kikosi cha West Ham United Kinachoweza Kuanza: Fabianski; Ogbonna, Diop, Balbuena; Coufal, Soucek, Noble, Johnson; Fornals; Bowen, Lingard

Kikosi cha Chelsea Kinachoweza Kuanza: Mendy; Azpilicueta, Silva, Rudiger; James, Jorginho, Kante, Chilwell; Mount, Werner; Havertz


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

West Ham, Uchambuzi EPL: West Ham United vs Chelsea, Meridianbet

CHEZA HAPA

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa