Nyumbani UEFA Champions League

UEFA Champions League

city

Mechi ya Man City na Chelsea Kiundani/ Ufundi

1
Tulisema sehemu ya kwanza namna umbo la City kwenye pressing lilipelekea Fullbacks wao wapande kusaidia na kuacha nafasi nyingi nyuma Tutazame bao la Chelsea, mpira ulitoka kwa Kipa Mendy na kumfikia Ben Chilwell ambaye ni wingback, wa kwanza kufika alikuwa...
Christianinho

Christianinho na Kauli ya “Like Father Like Son”

1
Christianinho mtoto wa Christiano Ronaldo alimsikia baba yake akisema "Kaka kwenye umri kama wa Mwanangu mimi nilikuwa na njaa kali ya mafanikio, sikuwa na uhakika wa kula hivyo kila siku uwanjani ilikuwa vita ya mafanikio kwangu" Yalikuwa ni maneno ya...
Kante

KANTE: Muhamiaji Anaishi Ndoto ya Wazawa Ulaya

1
Kante na familia yake walikimbia nchini Mali na kuingia Ufaransa katika harakati za utafutaji lakini kwa wakati huo mambo hayakuwa mazuri sana kwao. Alipoanza maisha ya shuleni alipenda sana kucheza mpira wa rugby. Kante ni mtoto wa kwanza na...

Kijue Kiasi Anachopata Mshindi wa Champions League

Inajulikana kuwa kufanya vizuri kwenye Champions League kunaweza kuwa na faida kubwa kwa vilabu vinavyoshiriki. Manchester City na Chelsea watamenyana Jumamosi hii usiku kwenye fainali kubwa zaidi ya mpira wa miguu huko Ulaya, lakini ni kiasi gani watapewa pesa kwa...
Tetesi za soka

Tetesi za Soka Barani Ulaya

Tetesi za soka barani Ulaya leo tarehe Mei 27, 2021 zinasema:- Tetesi zinasema, Kocha Zinedine Zidane ameamua kuondoka Real Madrid na tayari ameshawafahamisha wachezaji juu ya uamuzi wake siku ya Jumatano.  Tetesi zinasema, Leicester City wanakaribia kukamilisha makubaliano ya usajili wa...
EURO 2020

Russia Kufungua Usafiri Kwa Ajili Ya EURO 2020

3
Michuano ya mataifa ya Ulaya EURO 2020 ililazimika kusitishwa kwa muda baada ya lile wimbi la COVID-19 kuibuka na kuua watu wengi, huku ikisababishwa usafiri wa watu kuzuiwa kwa muda kwenye nchi nyingi ikiwamo Russia. Hatimaye baada ya ukweli kwamba...
UEFA yaweka matatani timu 3

UEFA Yafungua Mashtaka Ya Kinidhamu Kwa Timu 3

1
Shirikisho la soka barani ulaya, UEFA, limeamua kuandaa mashtaka rasmi ya kinidhamu kwa timu tatu za ulaya kuhusiana na sakata la European Super League. Siku ya jana UEFA iliamua kufungua taratibu rasmi za kinidhamu kwa timu tatu za ligi ya...
Chelsea - Declan

Chelsea Yaanza Kuwania Saini ya Rice Tena.

Imefichuka mabosi wa Chelsea wameingia upya kwenye sakata la kuiwania saini ya kiungo wa West Ham United na timu ya taifa ya England, Declan Rice katika dirisha lijalo la majira ya Kiangazi. Katika mchakato huo mpya, Chelsea inafikiria kumtumia Tammy...
Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Mbappe Akijaeleweka PSG

Staa wa PSG, Kylian Mbappe amesema anajisikia furaha juu ya mafanikio ambayo timu yake imeyapata kwa msimu huu ikiwa pamoja na kuchukua kombe la Coupe de France baada ya kuifunga Monaco. Hata hivyo hatma yake ndani ya kikosi hicho bado...
Ratiba za soka - Evertonvswolves

Ratiba za Soka Leo Ligi Mbalimbali

Ratiba za soka leo Jumatano Mei 19, 2021 katika Ligi mbalimbali ulimwenguni:- England - Premier League 20:00 Everton vs Wolverhampton Wanderers 20:00 Newcastle United vs Sheffield United 20:00 Tottenham Hotspur vs Aston Villa 21:00 Crystal Palace vs Arsenal 22:15 Burnley vs Liverpool 22:15 West Bromwich Albion...

MOST COMMENTED

Barcelona: Wanne Wabaki Mbio za Uraisi

16
Kuelekea Januari 24, 2021 - mbio za kuwania uraisi wa klabu ya Barcelona FC unashika kasi! Hii ni baada ya wagombea waliopita kwenye hatua...
Hayawi hayawi mara huwa, ndivyo wanavyoweza kusema wapenzi wengi wa masumbwi duniani.

Pambano Kali la Masumbwi

HOT NEWS