Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema amesema kuwa kwa msimu huu amefanya kadri alivyoweza kufanya na klabu yake ili kuweza kushinda tuzo ya Ballon d’Or baada ya kuisadia klabu yake kushinda makombe mawili ya La liga na klabu bingwa barani Ulaya.

Karim japo hajufanikiwa kufunga goli kwenye mchezo wa fainali katika dimba la Stade de France, lakini amekuwa shujaa wa timu hiyo na ameingoza mpaka kufika fainali kwa kufunga magoli 15 kwenye michezo yote ya ligi ya mabingwa na kumfunya kuwa mfungaji bora wa mashindano.

Karim
Karim Benzema

Karimu alipohojiwa na kituo cha Canal Plus kama anaifikilia tuzo ya e Ballon d’Or baada ya kuwa na msimu bora sana, alijibu, “bila shaka. Sasa naenda kujiunga na timu ya taifa lakini siddhani kama naweza kufanya zaidi na klabu yangu.

“Tutaangalia nini kitakachotokea, lakini kivyovyote najivunia kwa kile nilichofanya.”

Mshindi wa tuzo ya  Ballon d’Or atatangazwa kwenye sherehe zitakazofanyika jijini Paris mwezi Oktoba, kabla ya mashindano ya kombe la Dunia nchini Qatar.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa