Paul Ince: Man Utd Wanaweza Kuchukua Ubingwa wa Ulaya

Kiungo wa zamani Paul Ince amesema kuwa klabu ya Manchester United inaweza kuchukua ubingwa wa Ulaya msimu huu haijarishi kuna timu ngapi kwa sasa zina ubora zaidi ya Man Utd.

Kauli ya Paul Ince imekuja baada ya “draw” ya ligi ya mabingwa Ulaya kuzungushwa na kutangazwa awali Man Utd ilikuwa ikutane na PSG, kabla ya UEFA kuirudia kutokana na matatizo ya yaliojitokeza na kuzungushwa tena na kukutana na Atletico Madrid.

Paul Ince
Paul Ince

“Manchester wanaweza kushinda ligi ya mabingwa, watu wanweza kuniona chizi lakini wanaweza, United  wanaweza kumfunga yeyote katika siku yao, yeyote, haijalishi ni nani.

“Katika hatua ya mtoano kwenye mpira wa miguu, ukiwa kwenye ubora mzuri pamoja na wachezaji wenye viwango vya dunia hakuna sababu ya kutofika fainali au kuchukua ubingwa.” Alisema Paul Ince.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe