Uingereza vs Italia: Kucheza Pasipo Mashabiki
Uingereza wanatarajia kuwakabili timu ya taifa ya Italia kwenye dimba la Molineux wolves siku ya jumamosi kwenye mchezo wa UEFA Nations League pasipo mashabiki kutokana na vurugu walizofanya kwenye mchezo wa fainali ya Euro 2020.
Uingereza anakutana na italia kwa...