Kocha wa Manchester United Eric Ten Hag ameonesha kufurahishwa na kiwango kilichoonshwa na vijana wake katika mchezo dhidi ya mahasimu wao wakubwa klabu ya Liverpool. Mchezo huo ambao ulipigwa katika …
Makala nyingine
Kiungo alieitumikia klabu ya Real Madrid kwa mafanikio makubwa na kudumu hapo kwa takribani miaka tisa Carlos Casemiro ameagwa rasmi jana jumatatu. Katika ghafla hiyo ya kumuaga nyota huyo wa …
Klabu ya chelsea ya Chelsea imeachana na beki wake mwenye asili ya Brazil anayecheza timu ya taifa ya italia Emerson Palmieri. Beki huyo wa kushoto aliejiunga na Chelsea mwaka 2018 …
Uingereza wanatarajia kuwakabili timu ya taifa ya Italia kwenye dimba la Molineux wolves siku ya jumamosi kwenye mchezo wa UEFA Nations League pasipo mashabiki kutokana na vurugu walizofanya kwenye mchezo …
Kocha mpya wa timu ya taifa ya Austria Ralf Rangnick ameanza kwa ushindi mnono na timu ya taifa ya Austria kwa kuicharaza 3-0 Croatia katika michuano ya UEFA Nations League …
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema amesema kuwa kwa msimu huu amefanya kadri alivyoweza kufanya na klabu yake ili kuweza kushinda tuzo ya Ballon d’Or baada ya kuisadia …
Mshambulia nyota wa klabu ya Juventus Dusan Vlahovic ameachwa lkwenye kikosi cha timu ya taifa ya serbia kwa michezo ya UEFA Nations League, lakini kuwa wachezaji nane wanachezea ligi kuu …