Michezo ya wiki ya 3 kunako ligi ya Mabingwa, Uefa, imeanza kwa matokeo ya kufurahisha kwa wadau wa michezo ya kubashiri. Mkeka wako umetoboa au umechanika?

Over 2.5 zimetema!!! Uliziona Odds za kibingwa ndani ya Meridianbet Jumanne hii? Hii ndio nyumba ya mabingwa!

Haya hapa matokeo ya michezo ya Uefa iliyochezwa Jumanne Usiku:

PSG 3-2 RB Leipzig

Club Brugge 1 – 5 Man City

Atletico Madrid 2 – 3 Liverpool

Shakhtar Donetski 0-5 Real Madrid

Uefa, Uefa Ni Mwendo wa Over 2.5! Mkeka Wako Vipi?, Meridianbet

Besiktas 1 – 4 Sporting CP

Inter Milan 3 – 1 Sheriff Utd

Ajax 4-0 Borussia Dortmund

FC Porto  1-0 AC Milan*

* ni AC Milan pekee aliyewaangusha wazee wa over 2.5, sio kesi. Michezo mingine ya Uefa itaendelea leo usiku. Tandaza jamvi lako na Meridianbet, mahali popote, wakati wowote!

Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa