UEFA imependekeza mazungumzo zaidi na FIFA dhidi ya mipango yao ya kila baada ya miaka miwili kwa kombe la Dunia.

FIFA, ikiongozwa na mkurungenzi wa maendeleo ya mpira Arsene Wenger , wamekuwa wakipigia chapuo wazo la kufanyika kwa michuano hiyo kila baada ya miaka miwili.

UEFA na CONMEBOL wamekuwa wakihoji kuhusu mapendekezo kuhusu ratiba, mapema wiki hii, FIFA walialika wanachama katika mkutuno waliojadili mapendekezo hayo.

Jumatano shilikisho hilo Ulaya walitoa taarifa ikikosoa ushauri mbovu wa mabadiliko hayo, huku wakiamini kuwa ile hadhi ya kombe la dunia itashuka kama litachezwa kila baada ya miaka miwili.

Tarehe 14 septemba, UEFA na wanachama 55 waliomba kikao na FIFA ambacho wangeweza kupaza sauti zao kuhusu matokeo yake, lakini mpaka sasa hajapokea majibu yeyote kutoka FIFA ya maombi yao mpaka sasa.


 

FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

CHEZA HAPA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa