Mason Greenwood Bado Hakieleweki
Mahambuliaji wa klabu ya Manchester United Mason Greenwood ambaye amesimasha na klabu hiyo kutoka na kashfa ya kubaka na kujeruhi bado uchunguzi unaendelea japokuwa yupo nje kwa dhamana.
Hivi karibuni kulikuwa kuna tetesi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mason Greenwood...
Sepp Blatter Akana Malipo ya Michel Platini
Raisi wa zamani wa FIFA Sepp Blatter amekana kuwa malipo aliyothibitisha kulipwa raisi wa zamani wa UEFA Michel Platini haikuwa kinyume na sharia bali yalikuwa malipo halali ambayo aliyaita “gentleman’s agreement” baina yao.
Mwendesha mashitaka wa mahakama ya Uswissi aliwashutumu...
Barcelona Inauhitaji wa €500milioni Ili Kujiendesha Msimu Huu
Makamu wa rais wa klabu ya Barcelona amekubali kuwa klabu hiyo inauhitaji wa kiasi cha €500milioni ili kuinusuru klabu hiyo kutoka kwenye mdororo wa kiuchumi ambao unaukabili.
Barcelona kwa sasa kutokana na ukomo wa matumizi ya mapato haiwezi kusajiri mchezaji...
Mbappe Ndie Mchezaji Ghali Zaidi
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Paris Saint Germain Kylian Mbappe ametajwa kuwaa mchezaji mwenye thamani kubwa kuliko mchezaji yoyote kwa sasa baada ya kusajiri mkataba mpya na klabu hiyo hivi karibuni.
Mbappe ambaye kwa sasa anathamani ya...
Karim Benzema Akutwa na Hatia Ahukumia na Kupigwa Faini
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema amekutwa na hatia ya kula njama ya kutaka kupata pesa kwa mchezaji mwenzie ili asisambaze video ya ngono, ambapo kesi ilianza mwaka 2015 na sasa imekamilika na kukutwa na hatia ambapo...
Jose Mourinho Atakubali Offer ya PSG?
Kocha wa klabu ya AS Roma Jose Mourinho ameibukuwa kuwa chaguo namba moja la kumrithi kocha wa klabu ya PSG Mauricio Pochettino ambaye muda wowote anaweza kufungashiwa virago na matajiri wa klabu hiyo.
Kulingana na taarifa zinazosambaa mitandaoni barani ulaya...
UEFA Yaomba Radhi Mashabiki
UEFA imeomba imeomba radhi mashabiki wa klabu za Real Madrid na Liverpool na pia watazamaji wengine ambao walisumbuliwa na kupata bugudha kwenye mchezo wa fainali uliofanyika jumamosi iliyopita jijini Paris.
UEFA wameomba radhi ni siku sita tu baada ya kulaumiwa...
Jose Mourinho: Roma Imenifanya Kutokuwa Mbinafsi
Kocha wa klabu ya AS Roma na mshindi wa UEFA Conference League Jose Mourinho ameweka wazi kuwa klabu hiyo imemfanya kutojofikilia yeye zaidi tofauti na alivyokuwa hapo awali.
Mourinho ambaye alijipa jina la "The Special One" akiwa kwenye klabu ya...
Aston Villa Wakamilisha Usajiri wa Diego Carlos
Klabu ya Aston Villa imekamilisha usajiri wa mlinzi wa klabu ya Sevilla Diego Carlos kwa ada ambayo pande zote mbili hawakutaka kuweka wazi ni kiasi gani kimetumika kukamilisha usajiri wa mlinzi huyo.
Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Brazili mwenye umri...
Alan Pardew Aachana na CSKA Sofia
Kocha wa klabu ya CSKA Sofia Alan Pardew ameamua kuachana na klabu hiyo kufuatia kutokea vitendo kibaguzi ambavyo vinafanywa na mashabiki wa klabu hiyo, ambapo mchezo wa mwisho wa mwezi ulioisha walifanya vitendo hivyo.
Kulingana na taarifa, baadhi ya wachezaji...