Joan Laporta aliendsha kikao katika vumba vya kubadilishia nguo na wachezaji wa barcelona pasipo mkufunzi mkuu wa timu hiyo kuwepo katika mechi dhidi ya Benfica ambayo walipoteza kwa goli 3-0.
Miamba hiyo ya uhispipani jana walipoteza tena mechi yao kwenye mashindano ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya timu kutoka Ureno iliyotoa adhabu kali ya goli tatu, huku ikwaacha pasipo pointi yeyote kwenye michuano hiyo ya Ulaya.
Mashaka yanazidi kuongezeka kwa mkufunzi huyo wa kiholanzi maisha yake ndani ya miamba ya Catalunya, Koeman ameingoza Barcelona kushinda mechi moja kati ya tano walizocheza kwenye mashindano yote, Barcelona imekalia kuti kavu kwenye michuano ya ulaya kutoka hatua ya makundi.
Joan Laporta alitumia muda ambao Koeman alikwenda kuzungumza na waandishi yeye kufanya kikao hicho, haikujulikana kikao kilihusu nini hata walipoulizwa wachezaji kadhaa waligoma kutoa taarifa yeyote.
Koeman aliongoza Barcelona msimu uliosha kushika nafasi ya tatu kwenye ligi, pia aliweza isadia kuchukua kombe la Copa del Rey, huku wakitolewa hatua ya 16 bora kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya kwa uwiano wa magoli 5-2 dhidi ya PSG.
SPACE SPIN NA MERIDIANBET.
Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.