Pep Guardiola amekataa kuwakosa wachezaji wake wa Manchestser City kufuatiwa kupoteza mchezo dhidi ya RB Leipzig kwenye ligi ya mabingwa Ulaya kwa goli 2-1 usiku wa siku ya jumanne.

Dominik Szoboszlai na Andre Silva walikuwa wa kwanza kuifanya RB Leipzig kuongoza kwa goli mbili mbele, kabla ya Riyad Mahrez kuwapatia goli la kufutia machozi kwenye uwanja wa Red Bull Arena, huku mchezo ukimalizika kwa beki wa kulia Kyle Walker kuonyeshwa kadi nyekundu.

Pep Guardiola, Pep Guardiola Nimeridhishwa na Kiwanago Japo Tumepoteza, Meridianbet

“Kipindi cha kwanza tulipoteza umakini na hatukuwa na mawasiliano mazuri, na walikuwa na timu nzuri, lakini kipindi cha pili kilikuwa bora, bahati mbaya tulifanya makosa na walituadhibu, lakini tulicheza vizuri kipindi cha pili.

Tulishambulia sana, tulicheza kushinda mchezo ila tumepoteza hongera kwa Leipzig, tumefanya vizuri kwenye makundi, tumevuka tukiwa tumebakisha mchezo  mmoja kwenye kundi gumu, nimeridhika sana na kiwango cha kila mchezo, na natumai mwezi wa pili tutafika tukiwa na hali nzuri.” alisema Pep Guardiola


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa