UEFA Yafuta "Financial Fair Play" na Kutangaza Sheria Mpya ya "Financial Sustainability"

Shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA imethibitisha na kupitisha sheria mpya za kufuatilia mienemdo ya matumizi ya pesa ya vilabu vya ulaya leo na kuiondoa sheria ya “Financial Fair Play” iliyoanzishwa mwaka 2010.

Sheria ya  “Financial Fair Play” ambayo inakulikana kwa kifupi FFP inakwenda kubadilika na mwezi June na kuitwa  “Financial Sustainability”.

uefa

“Ushindani hauwezi kuelezwa kwa urahisi na kanuni za kifedha,” kiongozi wa mradi wa UEFA Andrea Traverso wakati akitoa neno na kuongezea “fair play” imekuwa ikitafsiliwa ndivyo sivyo na tukimaanisha, “tunatengeneza usawa kwenye mchezo wa mpira wa miguu uwanjani.”

UEFA chini ya Michel Platini na Gianni Infantino, walilieta sheria ya “Financial Fair Play” ili kuzui vilabu vya ulaya kutomia pesa zaidi ya ambazo wanaingiza ili kuondoa pesa ambazo hazipatikana kutoka kwenye mchezo huo, kwa sasa klabu zinaruhusiwa kutumia €5milion zaidi kwenye kipindi cha miaka mitatu.

Na pia kanuni zinaruhusu klabu kutumia pesa nyingine zaidi lakini isizidi €30milion ambazo gharama zake zitakuwa chini ya mmiliki wa klabu au sehemu ya uhusika wa klabu hiyo, lakini sheria mpya wameongeza wigo wa matuzi hadi kufikia €60milion.

Sheria mpya ya “Financial Sustainability” iatruhusu vilabu vya vilivyopo kwenye shirikisho hili kutumia hadi asilimia 70 ya mapato yake kwenye mishahara, manunuzi ya wachezaji na malipo ya mawakala ya wachezaji.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

 

 

Acha ujumbe