Shirikisho la mpira wa miguu barani Ulaya UEFA linafanya taratibu za kisheria ili kuweza kuachana na udhamini wa kampuni kubwa ya nishati yenye makazi yake nchini Urusi GAZPROM.

UEFA leo wamatangaza nchi ambayo itaanda fainali ya ligi ya mabingwa baada ya kuyaamisha  kutoka urusi kwenye jiji la Saint Petersburg kwenye dimba la Gazprom Arena na sasa fainali hizo zitafanyika nchini Ufaransa kwenye jiji la Paris.

UEFA

Baada ya kikao kilichofanyika leo, UEFA imeamua kutafuta msaada wa kisheria ili kuweza kuachana na udhamini wa kampuni ya GAZPROM, kampuni hiyo kwa mara ya kwanza kudhamini taasisi hiyo mwaka 2012, kwa mkataba wamiaka mitatu na May mwaka jana UEFA na GAZPROM walisaini tena mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya £33.5milion.

GAZPROM inatumia takribani £34million kila mwaka kuisaidia taasisi hiyo, ili kujiendesha na kuendesha mashindano yake mbalimbali yakiwemo ligi ya mabingwa ulaya, kombe la washindi, mashindano mengine ya kimataifa barani ulaya.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa