Chama cha soka barani ulaya UEFA imeadhibu nchi ya Belarus kucheza michezo ya kimataifa kwenye ardhi yao na wanahitajika kutafuta kiwanja nje ya nchi hiyo ili kuweza michezo ya kimataifa tena hawataruhusiwa kuingiza shabiki hata mmoja kutokana na kuingilia mzozo wa Ukraine.

Vikwazo ambavyo amewekewa nchi ya Belarus havitakwenda sambamba na vikwazo ambavyo amewekewa Urusi na fifa, Vikwazo hivyo vya UEFA vitaanza haraka iwezekanavyo  pia wameacha milango wazi ya kuweza kupitia maamuzi hayo kwa siku za usoni.

UEFA, UEFA Kuwashushia Rungu Belarus, Meridianbet

serikali ya Belarus imeisaidia nchi ya urusi ili kuweza kuishambulia nchi ya Ukraine kwa kuruhu majeshi ya urusi kuingia Ukraine kwa kupitia mpaka wa kaskazini, pia serikali ya Ukraine ilihishtumu Belarus kuingiza majeshi yake nchini humo lakini serikali ya marekani ili kanusha kwa kusema hakuna ushaidi wa kutosha.

Belarus kwa sasa haina klabu yeyote ambayo inashiriki michuano ya UEFA ila timu ya taifa inataraji kucheza mchezo wa kirafiki na Bahrain mwezi huu, pia timu hiyo itaaanza kampeni yake kwenye michezo ya UEFA Nations League mwezi june.

Siku ya jumatatu International Olympic Committee (IOC) walipendekeza kwamba wanamichezo wote kutoka urusi na Belarus wasiruhusiwe kushiriki michezo ya kimataifa.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa