Shirikisho la mpira barani ulaya kutokana na maombi ya mabadiliko ya timu zilizoingia nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya wa kubadili mfumo sasa kutakuwa na punguzo wa la bei za tikieti za daraja la 3 na 4 kwa klabu zitazofanikiwa kuingia fainali.

UEFA imefanya mabadiliko ikuhusisha kubadili tiketi ambazo ilipanga kugawa bure kwa mashabiki 5000, kwenye mchezo wa fainali kama ilivyowasilisha mwezi wa pili tarehe 14 2022, badala ya kutoa tiketi bure sasa wametoa punguzo la tiketi kwa daraja la 3 na 4  kwa klabu zote shiriki kufuatiwa maombi ya kubadili mfumo kwa vilabu vinavyoshiriki nusu fainali.

UEFA, UEFA Wafuta Tiketi za Bure kwa Mchezo wa Fainali, Meridianbet

Punguzo la bei ni sawa kwa thamani ma litasimamiwa na uefa, hii inamaana kwama mashabiki 15600 wa kila timu watafaidika na tiketi za daraja la 4 ambapo awali tikieti ilikuwa inauza €70 na sasa €60 na daraja la tatu  €180 sasa itauzwa €150.

Huku kwenye mashindano ya michezo mingine ya fainali UEFA Europa League, UEFA Europa Conference League na ligi ya mabingwa kwa upande wa wanawake tiketi za bure zitatolewa kama kawaida.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa