Makala nyingine

Dana White ambaye ni rais wa mchezo wa UFC amesema kwamba Conor McGregor anaweza kurejea ulingoni baadaye mwaka huu. Tangu alipopoteza kwa Dustin Poirier mwezi Julai mwaka jana McGregor hajacheza …

Bingwa wa zamani wa lightweight Khabib Nurmagomedov amesema mpiganaji wa UFC wa uzito wa juu Francis Ngannou huenda akakabiliana na Tyson Fury na kuimarisha rekodi zake katika ngumi. Mpiganaji huyo …

UFC tatibitisha  tena kurudi nchini Uingereza baada ya mashindano hayo kusimama kwa muda mrefu nchini humo huku leo siku ya Jumanne wametangaza kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii kuwa …

Anthony Joshua mshindi wa uzito wa juu IBF, WBA, WBO, IBO hana tatizo na Jake Paul katika mchezo wa ngumi. Tangu aingie kwenye ngumi za kulipwa mwaka jana, Jake Paul …

Jake Paul anajiandaa kupigana na bingwa wa uzito wa UFC Tyron Woodley mwezi Agosti 29 huko Cleveland, Ohio, lakini ameamua kumlenga Canelo Alvarez. Akiandika kwenye akaunti yake ya Twitter, Paul …

Imekuwa wiki chache za ubize kwa Conor McGregor baada ya kupigwa na Dustin Poirier, na kuvunjika mguu na kisha akadokeza juu ya siku zijazo katika UFC. Licha ya kutishia kurudi, …

Baba wa Khabib Nurmagomedov Abdulmanap aliaga dunia kutokana na shida ya COVID-19 mwezi Julai 2020 na Conor McGregor alileta uatani juu ya hili kwenye media ya kijamii, kabla ya kufuta …

Ni ngumu kutabiri ni wapi kazi ya Conor McGregor itaelekea baada ya kupoteza dhidi ya Dustin Poirier katika raundi ya kwanza ya pambano lao la tatu. Wakati ‘The Diamond’ atakuwa …

Israel Adesanya hakupenda njia ambayo pambano lake la kwanza dhidi ya Marvin Vettori lilikwenda licha ya kushinda katika uamuzi wa pointi. Nyota huyo mwenye ufalme wa uzani wa kati hakuacha …

Mike Tyson alikuwa anapigana na kibonde kutoka Ireland, Kelvin McBride. Huyu McBride alipigwa karibia na kila bondia duniani. Alipigwa hadi na Michael Murray, bondia aliyestaafu akiwa amecheza mapambano 18 tu, …

Bondia nyota nchini Hassan Mwakinyo amesema kamwe hatishwi na rekodi za Brendon Denes wa Zimbabwe katika pambano la ubingwa wa Afrika wa ABU wa uzito wa Superwelter. Mabondia hao watapanda …

1 2 3