Mlinzi wa Klabu ya Barcelona, Samuel Umtiti alimwaga machozi mbele ya raisi wa klabu hiyo Joan Laporta pindi walipokutana kujadili mustakabari wa nyota huyo ndani ya Klabu hiyo.

 

umtiti, Umtiti Amwaga Machozi Mbele ya Laporta., Meridianbet

Umtiti amefichua siri hiyo yeye mwenyewe akielezea namna anavyopitia wakati mgumu klabuni hapo chini ya kocha wa sasa Ronald Koeman aliechukua mikoba hiyo msimu uliopita.

Beki huyo hajacheza mchezo wowote mpaka sasa ndani ya msimu huu akiwa chini ya Koeman, majeraha pia yalichangia mchezaji huyo kukosa namba katika kikosi cha kwanza.

“Nililia mbele ya raisi kwasababu nafahamu yeye anajua Mimi ni nani? Nashukuru Raisi amezungumza na mimi kwa ukarimu sana na amenitaka nioneshe mimi nani nikipata nafasi.”alisema mchezaji huyo.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa