Nyumbani Uncategorized

Uncategorized

Fadhili Majiha

Fadhili Majiha Amtwanga Muingereza Nyumbani Kwao

0
Bondia wa Tanzania, Fadhili Majiha jana amemdunda Muingereza, Harvey Horn mbele ya mashabiki wa ndondi nchini humo katika raundi ya nne baada ya refa kusimamisha pambano (stoppage). Majiha na Horn wamepigana kwenye pambano kuu (main event) la ‘The Development Series’...
Kadi Nyekundu | Red Card

Mwanzo wa Matumizi ya Kadi Nyekundu

48
Ulishawahi kufikiria lini na ilikuwaje kadi nyekundu zilianza kutumika kwenye soka? Wacha tupashane hapa Meridianbet Sports! Kuanza kutumika kwa kadi nyekundu ilikuwa ni moja ya maendeleo makubwa sana katika soka. Na haikuwa rahisi kuendana na mabadiliko hayo mara moja....
Benard Morisson

Benard Morrison – Naishukuru Yanga kwa Kunipa Nafasi

0
Baada ya kuibuka mshindi kwenye kesi dhidi ya timu yake ya zamani Yanga Africans mtukutu Benard Morrison ameamua kutoa shukrani kwa uongozi,wanachama na mashabiki wa timu hiyo kwakumpokea na kumuunga mkono wakati wote alipokuwa akiitumikia timu hiyo. Kupitia ukurasa wake...
Luis Enrique

Luis Enrique Aje Manchester United – Christiano Ronaldo

0
Wakati dunia ikiamini kuwa Manchester United inafanya mipango ya kumpa ajira Zinedine Zidane kuwa kocha wa timu hiyo, inadaiwa staa wa timu, Cristiano Ronaldo anapendekeza jina la kocha mwingine kabisa. Ronaldo amempendekeza Luis Enrique ambaye amewahi kuwa kocha wa Barcelona. Ronaldo...
Patrice Evra

Patrice Evra – Pole Ole , Ukifanya Vibaya Watu Usahau Mazuri

0
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Patrice Evra ambae pia ni mchezaji mwandamizi wa Klabu hiyo aliyewahi kucheza pamoja na Christiano Ronaldo pamoja na Ole amemshukuru Ole Gunnar Solskjaer kwa kazi yake na amewapa kitisho wachezaji wa Manchester United...
Napoli Kit Maradona

Napoli Kuzindua Jezi Nyingine za Maradona

0
Napoli wanatarajiwa kuzindua jezi zao nyeupe za Diego Armando Maradona katika mechi ya jioni hii dhidi ya Inter huko San Siro. Partenopei wameanza kujitengenezea jezi zao wenyewe msimu huu na imewapa uhuru zaidi wa kuunda matoleo kadhaa maalumu.Hizi ni pamoja...
Solskjaer

Solskjaer Out – Mashabiki wa Manchester United

0
Mzimu mbaya umeendelea kumuandama Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer baada ya kushuhudia timu yake ikiambulia kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Watford katika Premier League, leo Jumamosi hii huku kikosi chake kikiwa na wachezaji wote mahili ambao...
Cesc Fabregas

Cesc Fabregas Ageukia Ukocha, Awafwata Wakongwe Wenzie

0
Nyota wa zamani wa Uhispania na vilabu vya Arsenal na Barcelona Cesc Fabregas ameonyesha viashiria huenda akageukia kazi ya ukocha siku za usoni baada ya kuchapisha mfumo wa timu ambao yeye akiwa kocha kwenye mtandao wake wa twitter Cesc Fabregas...
Giovan Van Bronckhorst

Giovan Van Bronckhorst na Rangers Kazi Ipo

0
Giovan Van Bronckhorst anatajwa kuwa ndie atakae wanaoa Mabingwa watetezi katika ligi kuu ya nchini Scotland Rangers, muda wowote kuanzia sasa watamtangaza gwiji wa zamani vilabu mbalimbali barani ulaya kuwa kocha wao mpya Timu hiyo yenye maskani yake kwenye mji...
Simba

Simba Ingemvumilia Gomez tu, Kocha Mpya Ataweza?

0
Binafsi niseme tu Simba lazima wakubali kwamba sasa hivi ligi imebadilika na ligi ni ngumu haswaa maana ligi ina pesa sasa hivi wasitarajie wepesi maana kila timu unayokutana nayo sasa hivi inakaza Sasa hivi timu za madaraja ya kati haziangalii...

MOST COMMENTED

Barbara Gonzalez Anajivunia Uwepo wa Chama Pale Msimbazi

0
Barbara Gonzalez CEO wa Simba alikiri kufuatwa na Head of Scouting wa Al Ahly, Mimi nawe hatujui iwe kweli au sio kweli ila...

HOT NEWS