Klabu ya Manchester United wanakaribia kukubaliana na Real Madrid kwaajili  ya kumsajili beki wa Ufaransa, Raphael Varane.

 

Usajili
Kulingana na Jarida la Goal, pande hizo mbili zimefikia makubaliano ya ada ya usajili kati ya € 45m (£ 39 / $ 53m) na € 55m ( £ 47m / $ 65m).
Varane amekuwa mmoja wa mpango wa uhamisho wa majira ya joto Manchester United tangu walipokamilisha dili la kumsajili Jadon Sancho kutoka Borussia Dortmund.
Varane amebakiza mwaka mmoja tu kwenye kandarasi yake na ameweka wazi mawazo yake ya kutafuta changamoto mpya na ameweka shinikizo kwa Real Madrid ambao pia wanahitaji fedha.
Uhusiano kati ya Real Madrid na Man Utd ni mzuri sana na hii imesaidia kufanikisha mazungumzo katika siku za hivi karibuni.

 


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa