Klabu ya Manchester United inatajwa kuwa katika mawasiliano ya mara kwa mareara na uwakilishi wa Ousmane Dembele kwa ajili ya uwezekano wa kukamilisha dili la uhamisho la staa huyu.

Inaaminiwa kuwa mashetani wekundu walishindwa kumpata staa huyu katika dirisha lililopita baada ya Barcelona kujiondoa kwenye mazungumzo katika dakika za mwisho kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili.

Taarifa zinasema kuwa United walikuwa wanamuhitaji nyota huyu kwa mkopo, huku Barcelona wakisimamia msimamo wao kuwa dili hilo lingewezekana ikiwa tu Dembele angesaini nyongeza ya mkataba kwa mwaka mmoja zaidi.

Dembele

Kwa mujibu wa taarifa nchini Hispania, tangia hapo Manchester United wamekuwa katika mawasiliano na wakala wa nyota huyu, na sasa wako tayari kuanzisha tena mazungumzo na Barcelona.

Dembele amekuwa akifanya vyema pale Barca, tangia alipowasili toka Borussia Dortmund miaka minne iliyopita kufuatia kuondoka kwa Neymar.

Wakati mkataba wake wa sasa ukiwa umesalia na miezi 16 tu, Barcelona wanadaiwa kuwa wanahitaji staa huyu asalie klabuni hapo na ikiwa atashindwa kusaini nyongeza ya mkataba basi wataamua kumuweka sokoni.


 

UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Dembele, United na Mbio za Ousmane Dembele, Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa