Timu ya Manchester United imeonesha nia yake ya kuutaka ubingwa wa Europa League baada ya kumpiga As Roma bao 6-2 katika mechi ya mkondo wa kwanza pale Old Trafford hapo jana!

Huu ulikuwa ni mchezo uliojaa kushambulia kwa Manchester United kwenye lango la Roma ambako United walipiga mashuti 20 huku 11 kati ya hayo yakilenga lango la Roma.

Katika mchezo huu wachezaji wa kati washambuliaji wa timu hiyo, Pogba na Bruno Fernandes walionekana kuelewana sana na kutengeneza wakati mzuri kwa straika wao Cavani kufanya makubwa.

Bruno Fernandes amehusika kwenye magoli 4 kati ya hayo 6, huku akifunga mawili na kutoa pasi ya goli kwa Cavani, ambaye alifunga magoli mawili na Paogba ambaye alifunga 1.

Na kama kawaida ‘super sub’ Greenwood alifanikiwa kuingia dakika 15 za mwisho na kufanikiwa kufunga goli, na amekuwa akifanya hivyo mara kadhaa katika michezo kadhaa ya mwisho.

Huu unakuwa ni mwendelezo wa ushindi mkubwa kwa United ambapo wamekuwa wakifanya hivyo hatua za nyuma za mashindano hayo na bila shaka kutokana na mchezo huo mzuri mashabiki wa United wanaweza kuvimba sasa!

KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa