Wawakilishi wa Raphael Varane wanatarajia kukutana na Manchester United wiki hii kwa tuamini la kukamilisha uhamisho wake kwenda Paremier League.
Varane Mazungumzoni na Manchester United
Beki wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane

Beki huyo wa kati, ambaye kandarasi yake inaisha miezi 12 ijayo anaonekana yupo mbioni kusepa huko Madrid.

Kwa mujibu wa gazeti la Uingereza Mirror, Varane hana furaha huko Bernabeu kwamba Real Madrid waliwachagua wachezaji kama Luka Modric, Lucas Vazquez na Sergio Ramos kuongeza mikataba kabla ya hawajaongea naye.

Na ni Uingereza ndiyo inayoonekana kumvutia Varane na Man United ndiyo kituo chake kifuatacho.

Kwa mujibu wa taarifa, Real Madrid wanataka mpaka euro milioni 60 kumuuza mchezaji huyo huku wakitarajia kufanya uhamisho wa pesa kubwa kwa wachezaji kati ya Kylian Mbappe au Erling Haaland.

Paris Saint-Germain pia wanaonekana kuvutiwa na beki huyo,lakini Varane anapenda kwenda Uingereza hiyo ni kwa mujibu wa The Mirror.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa