Wachezaji watatu raia wa Uingereza – Phil Foden, Marcus Rashford na Mson Greenwood ndio wachezaji wenye thamani kubwa zaidi miongoni mwa ligi kuu tano za bara Ulaya.

Kwa mujibu wa shirika la utafiti la CIES Football Observatory, Foden wa Manchester City anaongoza orodha hiyo huku thamani yake ikiwa $232 milioni. Anafuatwa na wanasoka wawili wa Manchester United – Greenwood ($217 milioni) na Rashford ($194 milioni).

 

wachezaji, Wachezaji 10 Wenye Thamani Zaidi Barani Ulaya., Meridianbet

Kiungo Man-United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes anashikilia nafasi ya tano kwa $188 milioni. Mason Mount wa Chelsea anafunga orodha ya wachezaji 10-bora kwa thamani ya $151 million.

CIES hutumia vigezo vya umri wa wachezaji, matokeo yake na hali ya soko la uhamisho kuandaa orodha hiyo.

1. Phil Foden (Manchester City), $232 million

2. Mason Greenwood (Manchester United), $217 million

3. Marcus Rashford (Manchester United), $194 million

4. Erling Haaland (Borussia Dortmund), $189 million

5. Bruno Fernandes (Manchester United), $188 million

6. Frenkie de Jong (Barça), $169 million

7. Pedri (Barça), $162 million

8. Alphonso Davies (Bayern Munich), $161 million

9. Joao Felix (Atlético de Madrid), $156 million

10. Mason Mount (Chelsea), $151 million


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa