Katika makala ya leo tuna angazia wachezaji mastaa wakubwa wanne ambao hawajawahi kupewa kadi nyekundu katika maisha yao ya soka.

Ryan Giggs

wachezaji, Wachezaji Mastaa Ambao Hawajawahi Kupewa Kadi Nyekundu., Meridianbet

Ryan Giggs amechezea mechi nyingi zaidi uwanjani Old Trafford akiwa akikitumikia kikosi cha Manchester United, akiwa ni mchezaji pekee amecheza mechi nyingi zaidi 963 katika kipindi cha miaka 24 bila kupewa kadi nyekundu.

Michezo 963
Kadi nyekundu 0

Raul Gonzalez

wachezaji, Wachezaji Mastaa Ambao Hawajawahi Kupewa Kadi Nyekundu., Meridianbet

Raul Gonzalez Blanco moja ya wachezaji mahiri kuwahi kutokea pale Real Madrid, akiwa amecheza mechi 932 katika taaluma yake kwa kipindi cha miaka 25 akiwa hajawahi kupewa kadi nyekundu.

Michezo 932
Kadi nyekundu 0

Andreas Iniesta

wachezaji, Wachezaji Mastaa Ambao Hawajawahi Kupewa Kadi Nyekundu., Meridianbet

Andres Iniesta Lujan, Moja ya wachezaji viungo hatari kuwahi kutokea katika mchezo wa soka duniani, mpira ulimtii alivyotaka yeye amefanikiwa kuchezea klabu yake ya Barcelona na timu ya taifa jumla ya michezo 717 katika mashindano mbalimbali bila kupewa kadi nyekundu.

Michezo 717
Kadi nyekundu 0

Philipp Lahm

wachezaji, Wachezaji Mastaa Ambao Hawajawahi Kupewa Kadi Nyekundu., Meridianbet

Kipenzi cha Mashabiki wa Bayern Munich, katika jiji la Munchez huwezi kuongea baya kumuhusu El Capitain Philipp Lahm akiwa ameshinda kila kitu katika maisha yake katika ngazi ya klabu na timu ya taifa amecheza jumla ya mechi 652 na hakuwahi kutunukiwa kadi nyekundu katika kipindi hicho chote.

Michezo 652.
Kadi nyekundu 0.

TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

wachezaji, Wachezaji Mastaa Ambao Hawajawahi Kupewa Kadi Nyekundu., Meridianbet

SOMA ZAIDI

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa