Kiungo wa Chelsea, Jorginho amekuwa akihusishwa na uhamisho wa kuelekea Roma ikiwa Maurizio Sarri atachukua kibarua klabuni hapo. Lakini, kwa mujibu wa wakala wake, staa huyu atasalia London.

Kiungo huyu alicheza dakika zote 90, kwenye mechi dhidi ya Real Madrid kwenye Ligi ya Mabingwa, wakala wake Jorge Santos amewaambia mshabiki kuwa ‘wakae kwa kutulia’ staa wao ataendelea kuwepo Stamford Bridge.

Jorginho Chelsea

Roma wanahusishwa na meneja wa Zamani wa Napoli na Chelsea, Maurizio Sarri, na tetesi zikatanuka zaidi kwenye vyombo vya habari vya Italia kumuhusisha Jorginho na Roma pia.

Wakala amenukuliwa akiseama;

“ Jorginho atasalia Chelsea, bado ana mkataba wa miaka miwili na klabu hii ya Uingereza na kwa sasa anajali suala la kumalizia msimu na timu yake kwa namna nzuri kadri iwezekanavyo.” – Jorge Santos

Nyota huyu wa Brazil anahamishia umakini wake kwenye michuano ya Ulaya (European Championship) baada ya kumalizana na dili lake la sasa na Chelsea, pia anaweza kurejea Serie A, ambayo ni moja ya kitu anachokipenda.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa