Kocha wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger amewasema timu ya PSG kwa kuwaita ‘wapumbavu’ katika mechi yao ya nusu fainali dhidi ya Man City ambapo walipoteza kwa bao 2-1.

Wenger alisema kwamba timu hiyo ilikuwa na mchezo mzuri mwanzoni lakini kutokana na kushika nafasi ya pili katika Ligue 1 huku wakiwa kama mabingwa watetezi kumesababisha timu hiyo kuwa vibaya kisaikolojia.

PSG walionekana kuwa na wakati mzuri dakika za mwanzoni huku wakishambulia sana na kufanikiwa kufunga goli dakika za mwanzoni kabisa kupitia kichwa cha Marquinhos dakika ya 14.

Mabeki wa kati wa PSG walionekana kucheza vibaya sana huku wakifanya makosa yaliyowagharimu na kusababisha Man City kurudisha magoli yote na kushinda mechi hiyo kwa magoli ya De Bruyne na Mahrez.

Katika mahojiano ya kipindi cha michezo Wenger alisema, “Naweza kusema katika kipindi cha pili PSG walikuwa wanajilinda zaidi kuliko kushambulia na ujinga kwa sababu goli moja sio kitu!… hata baada ya 1-1 najua timu ilitakiwa kujua kwamba imepoteza michezo mingi na inabidi ikaze zaidi, unaona kabisa baada ya Man City kusawazisha morali ya timu ilishuka sana” alimalizia Wenger.

Katika mechi hiyo pia, Nyota wa kati na mfungaji wa goli la kwanza la City, Kevin De Bruyne alikuwa mchezaji bora wa mechi hiyo sambamba na mchezaji mwenzake wa Kati N’golo Kante ambaye naye alipata tuzo ya mchezaji bora wa mechi katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali.

Mchezo huo pia ulikuwa na maajabu yake, kwani mchezaji Kylian Mbappe hakufanikiwa kupiga hata shuti moja kuelekea langoni mwa Man City na huenda ndio sababu ya timu hii kutokuwa na magoli mengi katika mechi hii!


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa