Dillian Whyte dhidi ya Alexander Povetkin ni pambano kubwa wikendi hii ni visasi na kuweka historia na macho ya wapenzi wa mchezo wa masumbwi yataelekezwa kuangalia pambano hili la marudiano.

Whyte vs Povetkin Maneno Kuisha Leo March 27.

Wawili hao watagombania ubingwa wa WBC wa uzani wa juu na mshindi wa pambano hili atajiweka katika mstari wa ubingwa wa taji hilo.

Mara ya mwsiho Whyte na Povetkin walizichapa mwezi Agosti mwaka 2020, ambapo Mrusi Povetkin alimaliza shughuli kwa kumchapa Whyte katika raundi ya 5 tu.

Kiukweli Whyte alimdondosha Povetkin mara mbili lakini Whyte alishindwa kuhimili konde zito la Povetkin alilopigwa mtindo wa uppercut na kuelekea chini na kushinda kurejea mchezoni na mwamuzi kuamua kumaliza pambano.

Whyte ametumia masaa mengi gym kwaajili ya maandalizi katika mpambano huu, anaonekana kuwa na njaa ya kulipiza kisasi kwa Povetkin. The Body Snatcher ana ndoto ya muda mrefu ya kushinda ubingwa wa dunia na ameshinda mara moja pekee kwenye uzani huo.

Povetkin atakuwa akitaka kuendeleza ubabe katika mechi hii ya marudiano ni kama Whyte naye atakuwa akitaka kushinda mchezo huu na kujiweka katika nafasi nzuri kwenye uzani mkubwa.

Whyte atakuwa makini sana katika mchezo huu hii pia inaweza ikaharibu mpango wake wa kushinda kwenye pambano hili la kurudiana, lakini tunaamini mabondia wa Kiingereza wenye uzoefu watakuwa wamemsadia mbinu za kujiweka sawa na huenda tukashuhudia akisha mapema tu pambano hili.

Mrusi anatarajia kujiweka mbali na kungoja Whyte afanye makosa na kumpelekea konde moja kama alivyofanya kwenye pambano aliloshinda mchezo wa kwanza.

Bashiri nani ataibuka na ushindi kwenye pambano hili odds zenye ujazo  GUSA HAPA


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Povetkin, Whyte vs Povetkin Maneno Kuisha Leo March 27., Meridianbet

CHEZA HAPA

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa