Makala mpya

Liverpool Wanajiandaa Kutoa Ofa kwa Huijsen
Daily News

Gleison Bremer sio beki pekee wa Juventus anayelengwa na vilabu vya EPL, Gazzetta linaripoti kuwa Liverpool wanatayarisha ofa kwa Dean Huijsen. Gazzetta dello Sport la leo linaripoti Borussia Dortmund, RB …

Soma zaidi
Ben White Apewa Nafasi na Southgate Kuelekea Euro 2024
News

Kocha Mkuu wa Uingereza Gareth Southgate anasisitiza kuwa ‘mlango uko wazi’ kwa Ben White kuitwa timu ya taifa lakini beki huyo lazima afanye hatua ya kwanza ikiwa anataka kucheza katika …

Soma zaidi
Manchester United Yamuibukia Bremer wa Juventus
News

Manchester United wanaripotiwa kuwa tayari kulipa kiasi cha €60m cha kutolewa katika mkataba wa beki wa Juventus Gleison Bremer, huku Bianconeri akijutia dili hilo. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil …

Soma zaidi
Todibo Kuondoka Nice Mwishoni mwa Msimu
Ligue 1

Beki wa klabu ya OGC Nice na timu ya taifa ya Ufaransa Jean Clair Todibo atatimka ndani ya timu hiyo mwishoni mwa msimu huu na vilabu kadhaa vikitajwa kuwania saini …

Soma zaidi
Arsenal Inamtaka Kiungo wa Kati wa Milan Bennacer
Daily News

Kiungo wa kati wa Milan Ismael Bennacer huenda akauzwa sokoni, huku Arsenal na vilabu vya Saudi Arabia vikiwa na nia ya kutaka. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Algeria yuko chini …

Soma zaidi
Barcelona Wamkataa Arteta na Roberto De Zerbi Kumrithi Xavi
Daily News

Barcelona wamekataa mipango ya kumchukua Kocha wa Arsenal Mikel Arteta na Kocha wa Brighton Roberto De Zerbi kama mbadala wa Xavi, kulingana na ripoti nchini Hispania. Odds kubwa, kasino ya …

Soma zaidi
Baba Rabiat Aweka Ahadi Simba Kuifunga Ahly| Mamelodi Watua Kibabe
SOKA LA BONGO

Shabiki kindakindaki wa Yanga anayefahamika kama Baba Rabiat na wakati mwingine hutumia jina la Shetani wa Yanga, ameteka hisia za mashabiki wengi wa simba sc na yanga sc kwa namna …

Soma zaidi
Mamelodi Watua Usiku, Pacome Aiwahi Yanga
SOKA LA BONGO

Kikosi cha Mamelodi Sundowns kimewasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere tayari kabisa kukipiga na Yanga SC katika mchezo wa Robo fainali ya Ligi ya …

Soma zaidi
Milan Yamuhitaji Goncalo Ramos Kwa Mkopo
Daily News

Huku Olivier Giroud akielekea LAFC, Milan wanahitaji mbadala wake na wanamtazama Goncalo Ramos, lakini watahitaji masharti maalum kutoka kwa PSG. Inasemekana kuwa Giroud amekubali kusaini mkataba wa miezi 18 na …

Soma zaidi
Juventus Wanaweza Kumtoa Iling-Junior
News

Juventus wako tayari kumnunua mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza chini ya umri wa miaka 21, Samuel Iling-Junior na uwezekano wa kuhama Ligi Kuu msimu huu, amesema Fabrizio Romano. …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,027 2,028 2,029