NyumbaniWorld Cup 2022

World Cup 2022

HABARI ZAIDI

Argentina Bingwa Kombe la Dunia 2022

0
Timu ya taifa ya Argentina imefanikiwa kubeba taji la michuano ya kombe la dunia iliyofanyika nchini Qatar mwaka 2022 baada ya timu hiyo kuifunga...

Amrabat Apokea Sifa nyingine Kutoka kwa Modric

0
Kiungo wa timu ya taifa ya Morocco na klabu ya Fiorentina inayoshiriki ligi kuu nchini Italia Sofyan Amrabat amepokea sifa tena kutoka kwa kiungo...

Wachezaji Watakaoikosa Fainali ya Kombe la Dunia, Argentina vs Ufaransa

0
Raphael Varane anatarajiwa kuwa fiti kwa Ufaransa wakijinadi kushinda Kombe la Dunia kwa mchuano wa pili mfululizo dhidi ya Argentina Jumapili usiku. Beki huyo wa...

Odds Kubwa Meridianbet FAINALI ya Kombe la Dunia Zikoje?

0
Odds Kubwa Meridianbet: Ule msemo wa mtoto hatumwi dukani utatimia leo jioni pale katika dimba la Lusail ambalo ndio dimba kubwa Zaidi nchini Qatar...

Hans Flick: Sijafikiria Kujiuzulu

0
Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Hans Flick amesema hajawagi kufikiria kujiuzulu kuifundisha timu hiyo baada ya kutolewa kwenye michuano ya kombe la...

Kambi ya Ufaransa Yaandamwa na Ugonjwa

0
Kambi ya timu ya taifa ya Ufaransa inaandamwa na ugonjwa ambao bado haujafahamika ambapo wimbi la wachezaji wa timu hiyo wanaendelea kuumwa na kuongezeka. Timu...

Dalic Atamani Modric Awepo Euro 2024

0
Kocha wa timu ya taifa ya Croatia Zlatko Dalic anatamani kuona nahodha wake Luca Modric anakuwepo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Croatia...

Gvardiol Aukubali Mziki wa Messi

0
Beki wa timu ya taifa ya Croatia Josko Gvardiol ameonekana kukubali mziki wa nahodha wa Argentina baada ya kukutana katika mchezo wa nusu fainali...

Fernando Santos: Aondoka Timu ya Taifa ya Ureno

0
Kocha wa timu ya taifa ya Ureno Fernando Santos ameachana na timu hiyo leo baada ya kuondolewa kwenye michuano ya kombe la dunia kwenye...

Badstuber: Croatia wanaweza Kumsimamisha Messi na Argentina

0
Beki wa zamani wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Holger Badstuber amesema timu ya taifa ya Croatia ina uwezo...