Beki wa timu ya taifa ya Canada Alphonso Davies anayekipiga katika klabu ya Fc Bayern Munich ya nchini Ujerumani inaelezwa atakua fiti kuwakabili rimu ya taifa ya Ubelgiji kesho.

Mchezaji huyo ambaye alikua na hatihati ya kushiriki michuano hiyo ambapo alikubwa na majeraha katika mchezo dhidi ya Hertha Berlin Novemba 5 alipokua anaitumikia klabu yake ya Fc Bayern Munich katika ligi kuu ya Ujermani maarufu kama Bundesliga.daviesBeki Davies ambaye alikua anasumbuliwa na misuli ya paja toka Novemba 5 atakua imara kuwakabili timu ya taifa ya Ubelgiji kesho jumatano katika mchezo wa kundi F ambapo pia ndo utakua mchezo wa kwanza wa kundi hilo.

Alphonso Davies ambaye amekua msaada mkubwa kwa timu hiyo kuanzia kwenye michezo ya kufuzu kuelekea Qatar na mpaka sasa hivo ilikua ni pigo kubwa kwa yeye kukosekana katika kikosi hicho cha Canada.daviesCanada wanahitaji kufanya vizuri kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kukosekana kwa muda mrefu kwenye michuano hiyo, Kwani ilipita miaka 36 ambapo toka mwaka 1986 ilikua haijafuzu michuano hiyo hivo timu hiyo inahitaji kufanya vizuri mwaka huu ikiongozwa na beki huyo kutoka klabu ya Fc Bayern Munich


machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa