Timu ya taifa ya Ecuador imejihakikishia nafasi yake ya ushiriki wa kombe la dunia baada ya FIFA kufunga kesi ya malalamiko ya kumchezesha mchezaji asiyepaswa kuchezwa kwenye taifa hilo.

FIFA kupitia kamati ya nidhamu imetoa waraka wa maamuzi ya kufunga malalamiko ya kesi kutokuendelea dhdi ya shirikisho la mpira wa miguu la Ecuador baada ya chile kutilia shaka utata wa urai wa mlinzi wa kulia Byron Castillo.

Ecuador

Kama Chile wangefanikiwa kushinda kesi, basi wangeiondoa moja kwa moja Ecuador kwenye mashindano ya kombe la Dunia ambayo yamepangwa kufanyika nchini Qatar mwezi novemba na wao kupata nafasi.

Lakini chama cha soka nchini Chile hakijakubaliana na maamuzi yaliotolewa na kamati ya nidhamu ya FIFA na wamepanga kukata rufaa mahakama ya kimichezo.

Ecuador wapo kwenye kundi A, akiwa na timu mwenyeji wa mashindano Qatar, Uholanzi na Senegal.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa