FIFA Kuanza Kuuza Tiketi za Kombe la Dunia 2022

FIFA wametangaza kwamba mashabiki dunia kote wanaweza kuanza kununua tiketi ya michezo yote ya mashindano ya kombe la dunia 2022 isipokuwa kwa michezo miwili tu wa ufunguzi na Fainali

Mashindano ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza yanaenda kuchezwa kwenye majira ya baridi, ikipingana na tamaduni ya mashindano hayo ambapo awali yalikuwa yakichezwa kwenye kipindi ambacho ligi za ulaya zinakuwa zimekwisha.

FIFA

Habari za mauzo ya tiketi yametangazwa siku ya jumatano kwa michezo yote isipokuwa kwenye mchezo wa ufunguzi na fainali.

“Kufuatiwa na kufanikiwa kwa kukamilikia kwa droo ya uchaguzi pasipo mpangilio kwa mauzo ya kwanza, FIFa imetoa nafasi ya ziada kwa mashabiki kujihakikishia wananunua tiketi zao baada ya droo ya mwisho.” waraka ulisomeka.

FIFA wametenga makundi manne ya tiketi kwa mashabiki kulingana na iana ya mashabiki

  • Tiketi za Watu Binafsi, Hizi ni tiketi ambazo mtu atanunua kwa ajiri ya kuangalia mchezo maalum, ambao utakuwa kwenye mchezo wowote, isipokuwa kwenye mchezo wa ufunguzi na fainali.
  • Tiketi kwa Ajiri ya Timu Maalum, Hizi ni tiketi kwa ajiri ya kuangalia timu ambayo utaichagua kwenye michezo yake yote ikianza na michezo mitatu ya kwenye makundi.
  • Tiketi Maalum kwa Ajiri ya Viwanja Vinne, FIFA wametoa titeki maaluma kwa ajiri ya kuangalia michezo minne kwenye viwanjwa vinne tofauti ikiwemo kiwanja kitakacho chezewa fainali.
  • Tiketi Maalum, hizi ni tiketi kwa ajiri ya watu ambao wamejengewa miundombinu maalum wakiwemo walemavu na watu ambao wana ukomo wa ambao hawawezi kuhamahama.

Ijapokuwa, FIFA wamesema kuwa mashindano hayo yataruhusu watu wote watakaribishwa, lakini kwa sheria za nchini Qatar wameweka wazi kuwa, wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja hawataruhusiwa kuingia nchini humo.

Huku matumizi ya vileo yakiruhisiwa kwenye sehemu maalum ambazo mashabiki hao watakuwa wamefikia.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe