Michuano ya kombe la dunia imeendelea kuwashangaza watu baada ya leo timu ya taifa ya Japan kuweza kuifunga timu ya taifa ya Ujerumani katika mchezo wa kwanza wa kundi E uliopigwa saa kumi mchana kwa saa za Afrika mashariki.

Timu ya taifa ya Ujerumani amabyo ilifanikiwa kumiliki mpira kwa kiwango kikubwa kipindi cha kwanza cha mchezo huku wakifanikiwa kupata kupitia kwa kiungo wao Ilkay Gundogan kwa mkwaju wa penati na kwenda mapumziko wakiongoza kwa bao moja bila.japanKipindi cha pili kilianza kwa kasi pia huku timu ya taifa ya Ujerumani wakitafuta bao la kuongeza huku Japan wao wkitafuta namna ya kuweza kusawazisha bao ambalo wametanguliwa na vijana wa Flick.

Dakika ya 75 Ritsu Doan ambaye alitokea benchi aliweza kuisawazishia timu yake bao na matokeo kua moja kwa moja kabla ya dakika ya 83 Takuma Asano kuwapa uongozi timu ya taifa ya Japan na mchezo kumalizika kwa mabao mawili kwa moja.japanTimu ya taifa ya Ujerumani inaanza michuano hii vibaya kwa mara nyingi baada ya kufungwa mchezo wa kwanza kwenye michuano iliyopita 2018 dhidi ya Mexico na kutolewa makundi na hii inaonekana sio dalili nzuri kwa upande wao.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa