Mchezaji wa Atletico Madrid Joao Felix ameiunga mkono Ureno kwa kufuzu Kombe la Dunia baada ya Fernando Santos kuanza kwa kuichabanga Nigeria kwa mabao 4-0 kwenye mechi ya kirafiki kabla ya kuanza kwa michuano hiyo mikubwa Duniani.

 

Joao Felix Aiunga Mkono Ureno kwa Kiwango Bora

Mabao mawili yalifungwa katika kipindi cha kwanza na Bruno Fernandes , pamoja na mabao ya kipindi cha pili yaliyofungwa katika dakika za lala salama yaliyopachikwa na Goncalo Ramos na Joao Mario na kuifanya timu ya Santos kupata ushindi mnono hapo jana kabla ya kueleka michuano yenyewe ya Kombe la Dunia.

Mshambuliaji huyo wa Atletico Joao Felix hakufanikiwa kupata bao lakini alivutia sana hapo jana walipokuwa mjini Lisbon, huku kocha wa timu hiyo akiusifia uchezaji mzuri kutoka kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23.

Kocha huyo alisema kuwa; “Joao alikuwa mmoja wa bora, na wengine wote walikuwa bora na hakuna anayecheza peke yake, na mchezaji huyo alicheza mchezo mzuri pia, katika kiwango ambacho wengine walifanya.”

Joao Felix Aiunga Mkono Ureno kwa Kiwango Bora

Santos alisema kuwa ana wachezaji 26 wanaogonga mlango kila siku wanabisha mlango wake kwenye mazoezi. Pia alisema kuwa wote wanabisha hodi na wana sababu za kucheza, hilo hakika ni zuri kwa kocha.

Joao Felix amesema kuwa anafurahia uhuru zaidi wa kuichezea Ureno kuliko Atletico Madrid, alipoiunga mkono timu hiyo kwa utukufu nchini Qatar, ambapo mechi yao ya kwanza watamenyana na Ghana katika ufunguzi wa Kundi H Alhamisi ijayo.

Mshambuliaji huyo aliendelea kusema kuwa anadhani wamejiandaa kushinda Kombe la Dunia, walitafuta bao na akaisaidia timu ambayo ni dhamira yake kufanya hivyo kama mshambuliaji.

Joao Felix Aiunga Mkono Ureno kwa Kiwango Bora

Ureno pia italazimika kufikiria kurejea kwa Cristiano Ronaldo, ambaye alikosa mechi hiyo ya kirafiki waliyoshinda kutokana na “ugonjwa” huku matokeo ya mahojiano yake makali dhidi ya Manchester United yakiendelea na kuonekana hatacheza mechi ijayo ya Ligi akiwa na United.

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Joao, Joao Felix Aiunga Mkono Ureno kwa Kiwango Bora, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa