Koeman Kumrithi Van Gaal.

Kwa mara ya pili, Ronald Koeman atarejea kwenye nafasi ya kuiongoza timu ya Taifa ya Uholanzi kama kocha mkuu.

Koeman atachukua nafasi hiyo kuanzia mwezi Januari baada ya mashindano ya Kombe la Dunia kutamatika. Hatua hii ni baada ya Louis Van Gaal kuweka wazi hali yake ya kiafya ambapo amesema, anasumbuliwa na tatizo la kansa ambayo amekuwa na kwa muda sasa.

Koeman: Xavi Amepewa Muda Mwingi Kuliko Mimi

Kurejea kwa Ronald inakua ni mara ya pili kuinoa timu hiyo baada ya kufanya hivyo mwaka 2018-2020 na baadae alipata nafasi ya kuiongoza Barcelona msimu uliopita na mwanzoni mwa msimu huu kabla ya kutimuliwa na nafasi yake kupewa Xavi Hernandez.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe