Macedonia: Ronaldo Kuwa Tayari Ndio Unafwata

Raisi wa Macedonia Stevo Pendarovski amemwambi mshambuliaji wa timu ya Taifa Ureno Cristiano Ronaldo kuwa akae kwa kutulia maana wao ndio wanafwata baada ya taifa hilo kumuondoa bingwa wa Ulaya Italia kwenye mchezo wa kufuzu ulioisha kwa goli moja bila.

Kocha wa timu ya taifa ya Ureno Fernando Santos amewaonya wachezaji wake kwa kuwambia kuwa mchezo wao dhidi ya Macedonia sio mzaha, ni kama fainali chochote kinaweza kutokea sababu timu iliyomfunga bingwa wa ulaya haitaji kujitambulisha.

Macedonia
Macedonia

Macedonia hawajawai kushiriki mashindano ya kombe la dunia na tayari wameshacheza mara sita kutafuta nafasi ya kushiriki ambapo mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1998, 2002, 2006,2010,2014,2018 huku mwaka huu ikiwa mara ya saba kushiriki kutafuta nafasi ya kushiri.

Ureno amaepata nafasi ya kushiriki mara saba kuanzia mwaka,1966,1986,2002,2006,2010,2014, na 2018 huku mwaka 1966 akishika nafasi ya tatu.

Pia kwenye mchezo wa kesho Ureno wanatarajia kuwatumia wachezaji Diogo Costa; João Cancelo, Pepe, Fonte, Guerreiro; Danilo, Bruno Fernandes, Bernardo Silva, Otávio; Ronaldo na Jota

Maedonia wanatarajia kuanza na wachezaji Dimitrievski; S. Ristovski, Velkovski, Musliu, Alioski; Churlinov, Ademi, Bardi, Elmas; M. Ristovski na Trajkovski

Hiyo ni listi inayodhaniwa kuwa makocha wa timu zote wanaweza kuznzisha lakini inaweza kubadilika kwani mpaka sasa hakina kocha aliyetoa listi kamili ya wachezaji atakao watumia kesho.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe