Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ujerumani Thomas Muller amezungumza kua wamestahili kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Japan siku ya leo katika mchezo wao wa kwanza wa kundi E.

Timu ya taifa ya Ujerumani imepata kipigo cha kushtukiza leo dhidi ya Japan baada ya kusawazishia bao na kuongezwa huku Muller akisema ni kipigo cha kushtukiza lakini piua wamestahili kupoteza kutokana na namna ambavyo walicheza mchezo huo.mullerMuller anasema wamecheza vizuri mchezo huo lakini kucheza vizuri haisaidii kama utashindwa kutumia nafasi ambazo unatengeneza katika mchezo. Mshambuliaji huyo anaamini walistahili kupoteza licha ya kucheza vizuri kwasababu hawakutumia nafasi ambazo walizitengeneza.

Timu ya taifa ya Ujerumani inapoteza mchezo wake wa pili mfululizo wa ufunguzi kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupoteza dhidi ya Mexico 2018 na mwaka huu pia mchezo wa pili mfululizo wa kombe la dunia kwani mchezo wao wa mwisho wa kundi 2018 walipoteza dhidi ya South Korea na leo unakua mcheza wa pili.mullerTimu ya taifa ya Ujerumani wanajipanga kurudi vizuri kwenye michezo miwili inayofuata ambayo ili kuweza kutengeneza mazingira mazuri ya kuweza kufuzu kwenye hatua ya 16 bora ili kuepuka kilichotokea 2018 walipotokea kwenye hatua ya makundi.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa