Golikipa wa timu ya taifa ya Uingereza Jordan Pickford ameanza kufanya mazoezi ya upigaji wa penati kuelekea mchezo wa robo fainali kati yao na timu ya taifa ya Ufaransa utakaopigwa …
Makala nyingine
Kocha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Scaloni amesema ubora uliooneshwa na nahodha wake Lionel Messi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Uholanzi ulichangiwa kwa kiwango kikubwa na …
Staa wa timu ya taifa ya Brazil Neymar Jr amemjia juu wakala wake wa zamani Wagner Ribeiro baada ya kumzungumza vibaya aliyekua kocha wa timu ya taifa ya Brazil Adenor …
Fernando Santos kwa mara nyingine tena ameamua kumwacha Cristiano Ronaldo kwenye benchi. Ronaldo, mwenye umri wa miaka 37, alitajwa kuwa miongoni mwa wachezaji mbadala wa timu yake ya taifa kwenye …
BETI NA KITOCHI: Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi kumiliki vitu wanavyovitaka, kwa kulitambua hili kampuni …
Kocha wa wa timu ya taifa Croatia Zlatko Dalic amesema hawana haja ya kumuhofia nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi kama watatumia mbinu walizotumia kumzuai staa wa …
Staa na nahodha wa timu ya taifa ya Argentina anayekipiga katika klabu ya PSG Lionel Messi amemkosoa kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi kutokana na mbinu alizotumia katika mchezo …
Gwiji wa soka ulimwenguni na staa wa timu ya taifa ya Brazil Edison Arantes Do Nascimento maarufu kama Pele ametuma ujumbe kwa staa wasasa wa timu ya taifa ya Argentina …
Nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza Harry Kane ameeleza wanaelekea kwenye mchezo wao wa robo fainali wa michuano ya kombe la dunia dhidi ya mabingwa watetezi Ufaransa siku ya …
Kocha wa timu ya taifa ya Ureno Fernando Santos ameweka wazi staa wake Cristiano Ronaldo hajaomba kuondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno huko nchini Qatar ambapo michuano …
Kiungo wa timu ya taifa ya Italia anayekipiga katika klabu ya Inter Milan inayoshiriki ligi kuu nchini Italia Nicolo Barella anaamini ya taifa ya Italia ilistahili kuwepo kwenye michuano ya …
Kocha wa timu ya taifa ya Morocco amesema kua atafurahi kama staa wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ataanzia nje kwenye mchezo wa robo fainali wa michuano ya …
Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui anaamini makocha wa kiarabu wanastahili nafasi katika timu kubwa, Hii ni baada ya timu ya tafa ya Morocco kufanikiwa kuitupa nje …
Kocha mkuu wa Ufaransa Didier Deschamps amesema kuwa timu yake haimtegemei sana Kylian Mbappe katika Kombe la Dunia. Mbappe amekuwa katika kiwango kizuri kwenye Kombe la Dunia la Qatar …
Kiungo wa timu ya taifa ya Uingereza anayekipiga katika klabu ya West Ham Declan Rice yuko fiti kukipiga dhidi ya taifa ya Ufaransa siku ya Jumamosi ameeleza mchezaji mwenzake Kalvin …
Kocha wa timu ya taifa ya Hispania Luis Enrique amezungumza na kuomba radhi baada ya kutangaza kuachana na timu hiyo siku ya leo punde tu baada ya kutupwa nje kwenye …
Staa na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amewapiga dongo wakosoaji wote ambao wanataka kuharibu hali ya utulivu na umoja katika kambi timu ya taifa ya Ureno …
Kocha wa timu ya taifa ya Croatia Zlatko Dalic amesema yeye hakerwi na aina ya ushangiliaji wa wachezaji wa timu ya taifa ya pale wanapokua wamefunga bao katika mchezo. Siku …
Aliyekua kocha wa timu ya taifa ya Hispania Luis Enrique ametangaza rasmi kuachana timu hiyo punde tu baada ya Hispania kutupwa nje kwenye michuano ya kombe la dunia dhidi ya …
Kiungo wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Juventus inayoshiriki ligi kuu nchini Italia Adrien Rabiot amesema timu ya Ufaransa haimtegemei mshambuliaji Kylian Mbappe. Mshambuliaji Kylian Mbappe mpaka …