Beki wa timu ya taifa ya Ufaransa Ibrahim Konate amesema ana furaha sana kushuhudia vita pembeni ya uwanja kati ya mshambuliaji wa timu ya Ufaransa na beki Kyle Walker katika …
Makala nyingine
Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameipongeza timu ya taifa ya Ureno kwa ushindi wa kihistoria kwenye hatua ya 16 bora kwenye michuano ya kombe la dunia …
Ufaransa ya Didier Deschamps ndio wanashikilia kombe la dunia kwa sasa na wanatazamia kutetea taji lao nchini Qatar. Sehemu kubwa ya mafanikio yao ya kimataifa yametokana na mtu mmoja, …
Rais wa shirikisho la mpira duniani Fifa Gianni Infantino amesifu hatua ya makundi ya michuano ya kombe la dunia nchini Qatar na kusema ni bora zaidi kuwahi kutokea kwenye historia …
Cristiano Ronaldo alijiweka kando baada ya ushindi mnono wa Ureno wa 6-1 dhidi ya Uswisi Jumanne usiku alipokuwa akitoka nje ya uwanja huku wachezaji wenzake wakiendelea kusherehekea ushindi wao. …
Chama cha Soka (FA) kimekataa kufichua ni aina gani ya matukio ambayo Gareth Southgate alipewa kufuatia tukio la wizi kwenye nyumba ya mchezaji Raheem Sterling na kuondoka kwenye kikosi cha …
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Brazil Gabriel Jesus anaripotiwa kufanyiwa upasuaji wa goti lake siku ya leo baada ya kuumia siku kadhaa akiitumikia timu ya …
Kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis Van Gaal amewataka wachezaji wa timu ya taifa ya Uholanzi kurudia kile walichokifanya mwaka 2014 kumzuia staa wa timu ya taifa ya …
Kiungo wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya soka ya Fc Barcelona Pablo Gavi huenda akaweka rekodi kma taanza mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Morocco kwenye …
Beki wa timu ya taifa ya Japan na klabu ya Arsenal Takehiro Tomiyasu inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza amesema kiwango chake cha chini kwenye mchezo wao dhidi ya Croatia kilisababisha …
Mshambuliaji wa klabu ya timu ya taifa ya Brazil na Real Madrid Vinicius Jr ametuma salamu za pole kwa gwiji wa soka wa nchi hiyo Edison Arantes Do Nascimento maarufu …
Beki wa timu ya taifa ya Brazil na mchezaji wa zamani wa vilabu vya Barcelona, juventus, PSG na klabu ya Sevilla Dani Alves amemsifu kocha wake wa timu ya taifa …
Samuel Eto’o apigwa picha AKIMSHAMBULIA mwanaume mmoja nje ya uwanja wa Kombe la Dunia baada ya kutazama ushindi wa Brazil dhidi ya Korea Kusini, huku nguli wa zamani wa Barcelona …
Neymar na Richarlison waliongoza sherehe za kumuenzi Pele huku wakituma ujumbe wa kumuunga mkono shujaa wa taifa la Brazil na mshindi mara tatu wa Kombe la Dunia ambaye kwa sasa …
Japan, moja ya timu safi zaidi ya Kombe la Dunia, ilifanya fujo kidogo wakati wa mikwaju ya penalti na inaweza kuchukua muda kusafisha maumivu ya moyo kutokana na matokeo waliyoyapata. …
Pele amefichua kuwa ‘atakuwa akiwafuatilia’ wachezaji nyota wa sasa wa Brazil anapotazama mechi yao ya hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia dhidi ya Korea Kusini akiwa hospitalini. …
Wiki hii ule ukurasa raundi ya mtoano wa 16 bora utafungwa rasmi kwa michezo minne iliyosalia, ni Japan vs Croatia, Brazil vs Korea Kusini, Morocco vs Hispania, Ureno vs Uswizi. …
Polisi leo wametoa maelezo mapya kuhusu wizi kwenye nyumba ya nyota wa Uingereza Raheem Sterling, na kufichua kuwa mke wake na watoto hawakuwa ndani wakati huo na ‘hakuna tishio la …
Beki wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United Harry Maguire anaamini nyota mwezake wa kikosi hicho Marcus Rashford anaweza kua miongoni mwa wachezaji bora duniani. Marcus …
Wakala wa kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amefuta uwezekano wa kocha huyo kuchukua nafasi ya kocha wa sasa wa timu ya taifa ya Ujerumani Hans Flick baada ya …