Makala nyingine

Timu ya taifa ya Korea Kusini imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya taifa ya Ureno kwa mabao mawili kwa moja katika mchezo wa mwisho …

Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amefikia rekodi ya gwiji wa zamani wa taifa hilo Diego Maradonna kwenye michuano ya kombe la dunia. Hiyo ni baada ya …

Neymar Ndo Basi Tena

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymar Jr atakosekana kwenye michezo iliobakia ya hatua ya makundi kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha. Staa huyo alipata …

Michuano ya kombe la dunia imeendelea kuwashangaza watu baada ya leo timu ya taifa ya Japan kuweza kuifunga timu ya taifa ya Ujerumani katika mchezo wa kwanza wa kundi E …

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10