Raisi wa Macedonia Stevo Pendarovski amemwambi mshambuliaji wa timu ya Taifa Ureno Cristiano Ronaldo kuwa akae kwa kutulia maana wao ndio wanafwata baada ya taifa hilo kumuondoa bingwa wa Ulaya …
Makala nyingine
Timu ya taifa ya Canada imefanikiwa kufuzu kucheza kombe la Dunia kwa mara ya kwanza ya ukame wa miaka 36 kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya Jamaica usiku wa kuamikia …
Mchezaji wa kimataifa wa Argentina Lionel Messi amesema kwamba baada ya michuano ya kombe la Dunia kumaliza atafanya uchaguzi upya kama ataendelea na timu ya taifa au atastaafu. Mshambuliaji huyo …
Mchezaji Gareth Bale alifunga mabao mawili katika ushindi wa 2-1 wa Wales dhidi ya Austria katika mchezo wa nusu fainali ya mchujo katika kutafuta tiketi ya kushiriki michuano ya kombe …
Timu za taifa za Uruguay na Ecuador zimefanikiwa kukata tiketi ya kwenda Qatar ambako fainali za michuano ya kombe la Dunia zimepangwa kufayika mwezi Novemba mpaka Disemba mwaka huu. Ecuador …
FIFA wametangaza kwamba mashabiki dunia kote wanaweza kuanza kununua tiketi ya michezo yote ya mashindano ya kombe la dunia 2022 isipokuwa kwa michezo miwili tu wa ufunguzi na Fainali Mashindano …
Golikipa wa Ajax Andre Onana amepata ajali mbaya ya gari wakati akielekea kuungana na timu ya taifa ya Cameroon siku ya leo. Onana alikuwa anasafiri kutoka jijini Yaounde mpaka Douala …
Kocha mkuu wa timu ya taifa Uholanzi Louis van Gaal amekutwa na maambukizi ya coronavirus kuelekea mechi za kirafiki dhidi ya Denrmark na Ujerumani na nafasi yake itachukuliwa na Danny …
Mhakama ya usuruhishi ya michezo “The Court of Arbitration for Sport” (CAS) imetupilia mbali shauri lililopelekwa na shirikisho la mpira la Urusi kupinga maamuzi ya FIFA ya kuwaondoa kwenye mashindano …
Mshambuliaji wa timu ya Manchester United Marcus Rashford na winga wa timu hiyo ambaye kwa sasa yuko kwenye kiwango kizuri Jadon Sancho wameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ambacho …
Timu ya taifa Ukraine itakwenda kushiriki michuano ya kome la Dunia moja kwa moja kama ilivyothibitishwa na Chama cha soka nchini Wales kuwa mazungumzo yamefanyika na FIFA kuhusu swala hilo. …
Christian Eriksen ameitwa tena katika kikosi cha timu ya taifa ya Denmark kwa mara ya kwanza tangu alipota tatizo la moyo mwaka jana wakati wa mashindano ya Euro 2020. Denmark …
Ijumaa ya tarehe 1 mwezi Aprili itafanyika droo rasmi ya michuano ya Kombe la Dunia 2022 katika nchi Qatar ambayo ndiyo wenyeji wa michuano hiyo. Timu 15 kati ya 32 …
Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA linajianda kuiondoa nchi ya Urusi kwenye mashindano yote ambayo yanaandaliwa na taasisi hiyo, baada ya ndani ya saa 24 kutoa tamko la kuruhusu …
Mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina Rodrigo De Paul amekasirishwa na unyanyasaji waliyoupata wakati walipokuwa Calama siku ya Alhamisi kumenyana na wenyeji Chile mchezo wa kufuzu kombe la Dunia. …
FIFA kufanya kikao kwa njia ya mtandao siku ya kesho tarehe 20 Disemba kujadili kuhusu kufanyika kwa michuano ya kombe la Dunia kila baada ya miaka miwili, huu ni muendelezo …
Droo ya hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia la 2022 imepelekea Ureno na Italia kuwekwa kwenye kundi C la mtoano, kumaanisha kuwa mmoja kati ya wawili hao hatafuzu fainali …
Mshambuliaji wa juventus Paulo Dybala atakosekana kwenye mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Brazili kwa sababu ya matatizo ya misuli. Dyabala alipata matatizo hayo ya msuli baada ya …
Bale hatakuwepo kwenye kikosi cha Wales kitakacho menyena na timu ya taifa ya Ubelgiji kwenye mchezo wa kufuzu kombe la Dunia siku ya jumanne. Gareth Bale ambaye siku ya jumamosi …
Kiungo wa crystal Palace Conor Gallagher ameitwa kwenye kikosi cha Uingereza kwa mara ya kwanza na anatarajia kuwepo kwenye mchezo wa kesho jumatatu dhidi ya San Marino kwenye mchezo wa …