Matokeo ya ya michezo ya kufuzu kombe la dunia hapo jana tulishuhudia bingwa wa dunia akitoa kipigo cha kikali cha goli 8-0 huku kinda nyota Kylian Mbappe akiweka nyavuni goli …
Makala nyingine
Gareth Southgate anatarajia kusaini mkataba mpya na timu ya taifa ya Uingereza utakaomuweka mpaka 2024 kwenye michuano ya Euro, mktaba wa sasa unaisha baada michuano ya kombe la Dunia 2022. …
Mechi za kutafuta tiketi ya kwenda nchini Qatar 2022 kwaajili ya michuano ya Kombe la Dunia zinaendelea Hispania wataendeleza jitihada za kutafuta kukaa juu kwenye kundi B watakapo safiri kukabiliana …
Giorgio Chiellini ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Italia kwenye michezo ya kufuza kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kushindwa kupona kwa wakati majeraha yake. Giorgio Chiellini …
Fifa imeadhibu timu ya taifa ya Hangari kwa kuwazuia mashabiki wake kutohudhuria kwenye michezo inayofuata na kuipiga faini ya kiasi cha dola 82,309 sana pesa ya kitanzania shilingi 189,557,627, kwa sababu …
Neymar alisema kwamba kombe la dunia 2022 inaweza kuwa ndiyo mwisho wake kuichezea timu ya taifa ya Brazil sasa mara baada ya kutoa kauli hiyo mchezaji wa zamani wa Paris …
Romero na Lo Celso watakosa mchezo kati ya Tottenham dhidi Newcastle United kutokana na majukumu ya kimataifa, baada ya kocha mkuu wa Argentina Lionel Scaloni kuwaita kikosini kwa ajiri ya …
Gareth Southgate amewajumuisha Tammy Abraham na Ben Chilwell kwenye kikosi chake Uingereza kwenye michezo iliyombele yao ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Andorra na Hungary, wakati Reece James akijiondoa …
Mkufunzi mkuu watimu ya taifa ya Uingereza Southgate, amekubali kuwa Jadon Sancho amemwita kwenye kikosi cha Uingereza katika michezo ya kimataifa japokuwa hana sifa ya kuchezea timu hiyo kwa sasa. …
Klabu ya Chelsea imeonyesha kuhitaji sana huduma za mshambuliaji wao Christian Pulisic wikendi hii kwa kumtumia ndege binfasi huko Honduras baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya USA dhidi ya …
Jamuhuri ya Ireland watakuwa wakitafuta kurekodi ushindi wao wa kwanza nakujikusanyia alama tatu katika kundi A katika kufuzu kombe la Dunia 2022 pale watakapo waalika viongozi wa kundi A Serbia …
Lionel Messi alikuwa makini sana kwamba Ulimwengu ulikuwa ukifuatilia kinachoendelea kutoka katika mchezo wa Brazil vs Argentina ambao ulihairishwa pale mamlaka zilipoingilia mechi hiyo ndani ya dakika nne sababu ya …
Timu ya Uingereza imeibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Andorra katika dimba la Wembley mchezo wa kufuzu kucheza Kombe la Dunia mwakani. Jesse Lingard alicheza mchezo wake wa kwanza …
Mshambuliaji wa Chelsea Romelu Lukaku anafurahi kumwona Cristiano Ronaldo amerudi kwenye Premier League lakini kamwe hatothubutu kulinganisha rekodi yake na ile ya fowadi wa Manchester United. Ronaldo aliandika historia siku …
Mchezaji wa Manchester United na Timu ya taifa ya Uingereza Jadon Sancho ameondolewa kwenye kikosi cha Uingereza baada ya kupata jeraha dogo. Uingereza iliinyuka Hungary bao 4-0 huko Budapest siku …
Arsene Wenger ameunga mkono mipango ya Kombe la Dunia kuandaliwa kila baada ya miaka miwili, akisisitiza “ni kile mashabiki wanachotaka”. Ushindani huo hufanyika kila baada ya miaka minne na inapaswa …
Baada ya kupata ukosoaji mkubwa pamoja na watu wengi walionekana kupinga Kombe la Dunia kufanyika kule Qatar, hatimaye nchi hiyo imetoa taarifa rasmi kuhusu mashabiki au wadau wa soka watakaoruhusiwa …
Lionel Messi amesema kwamba timu ya Argentina ilitaka kushinda dhidi ya Chile kwani ilikuwa “Mechi Maalumu” ambayo ni ya kufuzu kucheza kombe la Dunia ili kumuenzi Diego Maradona siku ya …
Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane amemaliza msimu huu wa VPL kwa kuibuka na tuzo mbili katika ligi hiyo. Kane ambaye alifunga goli lingine bora sana jana, amefanikiwa kuchukua kiatu cha …
Mchezaji wa Zamani wa Barcelona Xavi Hernandez akataa kazi ya kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Brazil itakayomfanya asaidie kujenga timu hiyo mpaka kombe la dunia la 2022 …