World Cup 2022: Makundi Kupangwa Kesho

Mashandindano ya kombe la dunia “World Cup 2022” sasa ni swala la miezi tu ambapo kwa mara ya kwanza linaenda kuchezwa kwenye majira ya baridi tofauti na miaka mingine yote ambapo tuliozoe kuna ikichezwa kwenye majira ya kiangazi.

Vumbi kuanza kutimka Novemba 21, maana yake timu 32 ambazo zitashiriki kwenye mashindano hayo zinatarajia kujua nani atakuwa kwenye kundi na kina nani, hapo ndipo umuhimu wa kupanga makundi unapokuja.

World Cup 2022
World Cup 2022

“World Cup 2022” Kuna makundi manne ambayo yana timu nane kila moja ambayo yametengenezwa kulingana na nafasi za FIFA, ambapo droo itachezesha kutoka kwenye kila kundi ili kuweza kujua nani atakuwa kundi lipi.

Muandazi wa mashindano ya “World Cup 2022” Qatar amewekwa kwenye kundi la kwanza ambalo linatarajia kuanza ili kuweza kupata timu nne kwa kila kundi mpaka mchakato utakapoisha.

Kundi la Kwanza; Argentina, Belgium, Brazil, France, Portugal, Spain, Qatar na  England

Kundi la Pili; Mexico, Netherlands, Denmark, Germany, Uruguay, Switzerland, USA na Croatia

kundi la Tatu; Senegal, Iran, Japan, Morocco, Serbia, Poland, South Korea na Tunisia

Kundi la Nne; Cameroon, Canada, Saudi Arabia, Ecuador, Ghana, Wales au Scotland/Ukraine, Costa Rica au New Zealand, Peru au Australia/United Arab Emirates.

Droo ya “World Cup 2022” inatarajia kuchezeshwa kesho siku ya ijumaa mida ya saa moja kwa saa za Afrika mashariki


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe