Kuna msemo wa kingereza unasema “The long waiting is over now” nani atamvaa nani kimejurikana sasa “World Cup 2022” ndani ya Qatar novemba 21 kipute kupulizwa kumtafuta mbabe wa soka wa dunia.

Timu 29 kati ya 32 zilizofuzu zishajua ni makundi gani na watakutana na nani, muda wa kujindaa na kubadili upepo kutoka joto kwenda kwenye baridi, inatarajiwa kuwa timu za kutoka bara ulaya litakuwa na nafasi nzuri kucheza kwenye majira ya baridi kulinga na hali ya hewa ya mataifa yao Afrika na amerika ya kusini itabidi wapambane na hali tu.

Haya ndio makundi

  • Kundi A: Qatar, Ecuador, Senegal, Netherlands
  • Kundi  B: England, IR Iran, U.S., Wales/Scotland/Ukraine
  • Kundi C: Argentina, Saudi Arabia, Mexico, Poland
  • Kundi D: France, Costa Rica/New Zealand, Denmark, Tunisia
  • Kundi E: Spain, Peru/UAE/Australia., Germany, Japan
  • Kundi F: Belgium, Canada, Morocco, Croatia
  • Kundi G: Brazil, Serbia, Switzerland, Cameroon
  • Kundi H: Portugal, Ghana, Uruguay, Korea Republic

Timu tatu amabazo bado hazijafuzu zinatarajiwa kucheza michezo yao ya mwisho mwezi Juni. World Cup 2022 itaanza Nov. 21 hadi Dec. 18. Na kwa mara ya kwanza kuchezwa mashariki ya kati.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa