Thursday, December 1, 2022

World

HABARI ZAIDI

Arteta Anatarajia Saka Kupona Kabla ya Kombe la Dunia

0
Kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta amesema kuwa jeraha la Bukayo Saka ni pigo tuu kwao na haliwezi kumuondoa katika kucheza Kombe la Dunia...

Inzaghi Awapongeza Wachezaji Wake kwa Kiwango Bora Oktoba

0
Kocha mkuu wa Intermilan Simone Inzaghi ameutaja mwezi wa Oktoba kuwa ni mwezi ambao timu yake imefanya vizuri baada ya kushinda kwa mabao 3-0 ...

Lewandowski Aipaisha Barcelona Kileleni.

0
Mshambuliaji wa Barcelona Robert Lewandowski ameipaisha timu yake hadi kileleni kwa Laliga baada ya kufunga bao katika dakika za lala salama za 90+3 huku...

Alvarez Anatarajia Kulengwa na Klabu Kubwa.

0
Mchezaji wa Ajax Edson Alvarez amefunguka kuhusu pigo lake la  kukosa kuhama kutoka Ajax kwenda Chelsea, lakini kiungo huyo wa kati wa Mexico anatarajia...

Liverpool Yapoteza Mchezo Wake wa Pili Mfululizo Kwenye Ligi.

0
Klabu ya Liverpool imepoteza mchezo wake wa pili kwenye ligi mfululizo hapo jana baada ya kutandikwa na Leeds United kwa mabao 2-1 akiwa nyumbani...

Yanga Kufungwa ni Hakunaga.

0
Klabu ya soka ya Yanga imeendeleza rekodi yake ya kuendelea kucheza michezo ya ligi kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa bao moja...

City Kutathmini Hali ya Haaland Kabla ya Pambano na Leicester

0
Manchester City watamtathmini Erling Haaland kabla ya mechi yao ya Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Leicester City baada ya kushindwa kuendelea na kutolewa...

Juventus Hatarini Kutozwa €60m Baada ya Hati za Ronaldo Kufichuka.

0
Gazeti la La Repubblica limeripoti kuwa Juventus iko hatarini kutozwa faini kutoka €20m hadi €60m baada ya kudaiwa kurekebisha mshahara wa Cristiano Ronaldo kwa...

Hazard Asisitiza Ubelgiji Lazima Inyakue Kombe La Dunia.

0
Mchezaji wa Real Madrid Eden Hazard amesema kuwa timu yake ya Taifa ya Ubelgiji lazima inyanyue taji kubwa la Kombe la Dunia ikiwa wanataka...

Zhang Athibitisha Kuwa Inter Haiuzwi

0
Rais wa Inter Steven Zhang amesisitiza kujitolea kwa Suning kwa klabu ni kwa muda mrefu huku Nerazzurri wakithibitisha mapato yao yakiongezeka kwa takriban €75m...