Makala nyingine

Mauricio Pochettino aliingia dimnani leo dhidi ya Arsenal akiwa ameshapoteza matumaini kabisa ya kutwaa taji msimu huu. Kabla ya gemu ya leo alisisitiza kuwa Spurs wanahitaji muujiza labda ili waweze …

Unampa Nani Umeneja wa Mwezi? Mameneja watatu wameingia kwenye kinyang’anyiro cha meneja bora wa mwezi kwenye Ligi Kuu ya Uingereza. Mameneja hawa ni Ole Gunnar Solskjaer wa Manchester United, Unai …

Klabu ya Manchester United wanaripotiwa kuwa wameamua kumchagua mchezaji mwingine atakayechukua nafasi ya Valencia kama nahodha wa klabu hiyo ikiwa nyota huyo atasepa klabuni hapo. Nani atauvaa ukepteni? Taarifa zinadai …

Meneja wa West Ham, Manuel Pellegrini ameweka wazi mipango yake kwa msimu unaofuata akisisitiza klabu yake kumaliza katika sita bora kwenye Ligi Kuu ya Uingereza msimu ujao. Meneja huyu ambaye …

Majanga ya Pochettino

Tottenham wameendelea na majanga ya kupokea vipigo hivi karibuni baada ya kuoneshwa kazi ngumu na Chelsea ambao walimchezea mchezo ambao uliwafanya wapotee kabisa mchezoni na kuonekana kama hawapo kabisa mchezoni …

Utamu wa El Classico

Katika siku ambazo wapenzi wengi wa soka hupenda kuziona ni pale miamba wa soka na wenye tambo nyingi juu ya mapato yao na uzuri wa vikosi vyao wanapokutana kwenye mchezo. …

Mechi za LaLiga zitakuwa hazichezwi tena siku ya jumatatu! Hii ni taarifa kutoka kwa raisi wa shirikisho la soka la Uhispania bwana Luis Rubiales. Unaionaje hii mechi za LaLiga kutochezwa …

Meneja wa Real Madrid, Santiago Solari anasema kuwa Bale bado ni sehemu muhimu ya klabu hiyo wakiwa wanajiandaa kuingia kwenye El Clasico nyingine. Bale ameweza kuanza kwenye gemu 2 tu …

Jumamosi hii inakuja na gemu kabambe sana katika ulimwengu wa soka. Hapa nimekuwekea gemu kali za wikiendi hii kutoka Ligi Kuu ya Uingereza. Tottenham v Arsenal Spurs wanamkaribisha Arsenal kwenye …

Mazungumzo ya mkataba mpya wa golikipa De Gea klabuni Manchester United yanachukua mda mrefu huku klabu ikiwa tayari imeamua kumuongezea mda wa mwaka mmoja wa kuwepo klabuni hapo baada ya …

Kwa kadri siku zinavyosonga mbele majukumu ya ulinzi nayo yamekuwa yakibadili mwekekeo wake, kutoka katika hali iliyokuwepo hapo awali ya kwamba kazi ya mabeki ni kulinda na kuzuia mipira isiweze …

Furaha ya mchezaji hususani mshambuliaji hukamilika pale anapoona ana mafanikio makubwa ya kuipa ushindi timu yake na kuandika historia ya kuifungia timu yake idadi fulani ya magoli ambayo kwa namna …

1 2 3 491 492 493 494